Hali ya jua na ukavu kuzidi kushudiwa Marsabit na sehemu nyingi za nchi
January 7, 2025
By Samuel Kosgei, Kitengo cha maafisa wa upelelezi wa kukabiliana na dawa za kulevya, maafisa wa polisi kutoka kambi ya ya mafunzo ya Kedong na OCPD wa Naivasha wameharibu zao la bhangi lenye thamani ya Sh Milioni 27. Washukiwa 14 ambao walipatikana wakipalilia bhangi hiyo kwenye shamba la zaidi ya ekari[Read More…]
By Waihenya Isaac Vuguvugu la wakimbimzi wa ndani kwa ndani walioadhirika na ghasia za baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2007/2008 wamependekeza mageuzi ya sheria ili kuipa tume ya Uiano na Utengamano Nchini NCIC nguvu zaidi. Wakizungumza na waandishi wa habari mjini Kitale waadhiriwa hao wametaja kuwa ni vyema[Read More…]
By Waihenya Isaac, Mwanamume mmoja ameaga dunia wakti akichimba kisima katika eneo la Alamanu mji wa Mararal katika kaunti ya Samburu. Akidhibitisha kisa hicho Kamanda wa polisi katika kaunti ndogo ya Samburu ya kati Alex Rotich amesema kuwa huenda marehemu alifariki kutokana na matatizo ya kupumua kabla afike mwisho wa[Read More…]
By Waihenya Isaac, Watu tisa wamefariki katika ajali iliotokea hii leo asubuhi katika eneo la Soysabu GilGil kwenye barabara kuu ya Nakuru kuelekea Nairobi. Ajali hiyo iliyohusisha Matatu ya kampuni ya Mololine na Lori ilifanyika karibu na hospitali ya St Mary’s Ambapo tisa hao walifariki papo hapo. Akidhibitisha Kisa[Read More…]
By Machuki Denson. Kaunti ya Baringo imekuwa ya kwanza kuupinga na kuangusha mswada wa BBI. Hii ni baada ya patashika nguo kuchanika ndani ya bunge hilo jana. MaMCA watanao pekee ndio walihesabiwa kupioga kura ya kuidhinisha mswada huo wakati madiwani wenzao 30 wakipiga kura ya kuupinga. Madiwani watano walisusia zoezi[Read More…]
By Mark Dida, Mshirikishi wa serikali kuu kanda ya kaskazini mashariki Nicodemus Ndalana ametoa wito kwa wakaazi wa kaunti ya Mandera kupea kipaumbele maswala ya amani baina ya jamii zinazoishi katika eneo hilo. Haya yanajiri baada ya maafisa wa tume ya uwiano na utengamano ya NCIC pamoja na viogozi wa[Read More…]
By Isaac Waihenya, Wananchi wametakiwa kuwajibika wakti wa uchaguzi na kuwachagua viongozi wenye maadili. Kwa mujibu wa kamishna wa tume ya Uiano na Utengamano Nchini NCIC Denvas Makori ni kuwa ni jambo la kusikitisha mno kuona kuwa wananchi wamekuwa wakiilaumu tume hiyo kutokana na ukosefu wa maadili kutoka kwa viongozi[Read More…]
By Jillo Dida Jillo, Mwanamume mwenye umri wa miaka 48 amemuua mkewe akitumia mshale katika Kijiji cha Kaptimon huko Elburgon kaunti ya Nakuru kutokana na mzozo wa mahindi. Kulingana na ripoti ya idara ya ujasusi ni kuwa, Wilson Koech mumewe marehemu alijaribu kuuza mahindi japo alipingwa na mkwewe na mwanawe.[Read More…]
By Mark Dida, Mwanafunzi mmoja anadaiwa kuuliwa na polisi kwa kupigwa risasi majira ya saa mbili jioni, hapo jana katika mjii wa Mandera. Kulingana na familia, Zakariah Mohamed alipigwa risasi alipokuwa akitoka masomo ya ziada huku wakiandamana na walimu wake. Mvulana huyo alikibizwa katika hospitali ya rufaa mjini Mandera ila[Read More…]
By Waihenya Isaac, Wabunge amabao wanaunga mkono mwafaka kati ya Rais Uhuru Kenyatta na kinara wa ODM Raila Odinga sasa wanapanga kikao cha pamoja na huenda wakaafikiana Kuhusu kumgatua mamlakani Naibu wa Rais William Ruto. Kwa mujibu wa Mbunge wa Kieni Kanini Kenga ni kuwa wabunge hao huenda wakawasilisha mswaada[Read More…]