Wakaazi wa Karare, wanufaika na msaada wa chakula na vifaa vingine vya matumizi kutoka kwa katibu Kello Harsama.
January 9, 2025
By Isaac Waihenya , Serekali ina maafisa wa wafya wa kutosha walionauwezo wa kupeana chanjo ya Korona Nchini. Hayo ni kwa mujibu wa katibu wa utawala Katika wizara ya Afya daktari Mercy Mwangangi. Akizungumza mbele ya kamati ya Bunge Kuhusu afya, mwangangi ametaja kuwa wananchi hawafa kuhofia Kuhusu chanjo hiyo[Read More…]
By Jillo Dida Jillo, Tume ya kuwajiri waalimu Nchini TSC imekana madai kuwa imekuwa ikipanga hamisho za walimu kote nchini haswa katika ukanda wa kazkazini mwa nchi. Katika taarifa yake TSC imesema kuwa ripoti ya Arafa iliyotelewa ilikuwa ni ya kutoa mwelekeo mzuri kwa tume japo sio ya kuhamisha walimu.[Read More…]
By Waihenya Isaac, Serikali ya Kaunti ya Samburu huenda ilitumia shilingi milioni 147 kulipia bili za miradi gushi wakati wa kipindi cha matumizi ya pesa za serikali cha mwaka 2018 /2019. Kwa muijibu wa ripoti mpya kutoka kwa Mhasibu Mkuu wa serikali Nancy Gathungu, kaunti hiyo inadaiwa kuwa ililipa fedha hizo[Read More…]
By Silivio Nangori, Hii leo ikiwa ni siku ya wanyama pori Duniani taifa linaadhimisha siku hiyo katika eneo la Shimoni kaunti ya Kwale. Naibu Mkurugenzi wa Shirika la kuwalinda wanyama pori Kaskazini mashariki mwa nchi Robert Obrein ametaja siku hii kuwa muhimu sana katika kuhamasisha wananchi kuhusiana na utunzaji wa[Read More…]
By Samuel Kosgei, Naibu katibu mkuu mpya wa chama cha Jubilee Joshua Kutuny amesema kuwa hawezi akachelea kuanzisha mswada wa kumtimua naibu wa rais William Ruto kutoka chama hicho tawala cha jubilee. Hata hivyo Kutuny ambaye ni mbunge wa Cherangany amesema licha ya kuwa hajapokea taarifa zozote za kutimuliwa kwa[Read More…]
By Waihenya Isaac, Rasimu ya Mswaada wa marekebisho ya Katiba ya mwaka 2020 BBI utawasilishwa bungeni hapo kesho. Spika wa bunge la kitaifa Justin Muturi aliagiza mswada huo uwasilishwe bungeni kwa Usomaji wake wa kwanza. Karani wa Bunge ameelekezwa kupata nakala za kutosha za Mswaada huo. Nakala hizo zinapaswa kuwa katika mfumo[Read More…]
By Waihenya Isaac Wakenya wametakiwa kutoingiza siasa swala la kukabiliana na ufisadi nchini na badala yake kupiga jeki zoezi hilo kwa kupiga ripoti wanaposhuhudia visa vyovyote vya ufisadi. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa tume ya maadili na kupambana na ufisadi nchini EACC Eliud Wabukala ni kuwa vita dhidi ya ufisadi[Read More…]
By Adano Sharawe, Wizara ya Afya imeomba Shilingi bilioni 1.4 kutoka Wizara ya Fedha kupanua vituo vya kuhifadhi chanjo kote nchini na kununua vifurushi ambavyo vinaweza kuhifadhi chanjo hizo katika kiwango cha nyuzi kinachokubalika. Mkuu wa jopo la kusambaza chanjo za kukabiliana na maradhi ya Corona Willis Akhwale, amesema vituo[Read More…]
By Waihenya Isaac Kiongozi wa wengi katika bunge la kitaifa Amos Kimunya amesema kuwa Bunge liko tayari kuandaa mswaada wa kura ya maamuzi na marekebisho ya katiba huku kaunti zikitarajiwa kuwasilisha matokeo ya kura ya mswaada wa BBI wiki ijayo. Akizungumza na waandishi wa habari,Kimunya ametaja kuwa kesi iliopo[Read More…]
By Adano Sharawe, Wauguzi wamejiunga na Matabibu katika kusitisha mgomo wao ambao umedumu kwa zaidi ya miezi mitatu kufuatia agizo la mahakama. Katibu wa muungano wa wauguzi nchini KNUN Seth Panyako amewaagiza wauguzi kurudi kazini kufikia hapo kesho. Jaji wa mahakama ya Leba Maureen Onyango mnamoJumatatu aliwaagiza wauguzi na matabibu[Read More…]