Idara ya Watoto Marsabit yawarai wazazi kuwarejesha wanao shuleni,muhula wa kwanza wa 2025….
January 8, 2025
By Waihenya Isaac, Bunge la kitaifa litampiga msasa jaji Martha Koome tarehe 13 mwezi Mei mwezi mwaka huu, baada ya Jaji Koome kupendekezwa na tume ya huduma za mahakama JSC kuwa jaji mkuu. Koome anatarajiwa kufika mbele ya kamati ya mbunge Kuhusu sheria kwa Mahojiano. Aidha Umaa umetakiwa kuwasilisha maoni[Read More…]
Detectives based at DCI-Kilimani, have in the wee hours of today morning, discovered fake currencies totalling to hundreds of millions of shillings, at a house in Makaazi apartments, in the upmarket Kilimani neighborhood. A total of 6.8Million fake US dollars, 490,000 fake Euros, and 6.4 Million Kenya Shillings was recovered[Read More…]
Na Adano Sharawe, Mahakama ya Runyejes imefungwa kuanzia leo baada ya wafanyakazi wake 18 kupatikana kuugua virusi vya corona. Kwenye taarifa, naibu jaji mkuu Philomena Mwilu amesema kuwa uamuzi huo umefuatia mapendekezo ya maafisa wa wizara ya afya na kamati ya watumiaji mahakama katika mahakama hiyo ya Runyenjes kufuatia kuthibitishwa[Read More…]
Na Waihenya Isaac, Shughuli ya kutafuta jaji mkuu nchini imeingia siku yake ya tatu, huku leo ikiwa ni zamu ya Jaji Martha Koome. Koome aliyeteuliwa Jaji wa Mahakama ya rufaa mnamo Januari 2012, ana uzoefu wa miaka ishirini na sita kama mtaalam wa sheria,Jaji wa Mahakama Kuu na kama Jaji wa[Read More…]
By Samuel Kosgei, Mahakama ya Machakos imemhukumu mwanaume mmoja kifungo cha miaka 44 kwa kosa la kumdhulumu mpwa wake 10 kigono mwaka wa 2017. Mahakama awali iliambiwa kuwa Mvulana huyo aliaga dunia baadaye alipofikishwa katika makao ya kunusuru watoto mjini Machakos. Nicholas Kioko Mutisya alipatwa na kosa la kumdhulumu[Read More…]
By Waihenya Isaac, Rais Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuhutubia taifa hii leo kuhusu hali ya maambukizi ya korona na mikakati mipya ambayo serikali inaweka kudhibiti maambukizi zaidi. Hata Hivyo upo uwezekano kwamba Rais huenda akakaza kamba kwenye masharti ya kuzuia msambao wa virusi hivyo. Hotuba ya rais inajiri wakati taifa[Read More…]
By Waihenya Isaac Serekali ya kaunti ya Wajir imeanza kutoa chanjo ya ugojwa wa korona hii leo kwa wahudumu wa wafya Katika hospitali ya rufaa ya kaunti hiyo. Akizungumza na waandishi wa habari wakti wa Uzinduzi wa zoezi hilo, Afisa mkuu wa afya Katika kaunti hiyo Adan Eno amesema kuwa [Read More…]
By Samuel Kosgei, VUGUVUGU linalopinga marekebisho ya katiba, limetaja uhasama ulioibuka kati ya wanachama wa ODM na serikali ya Rais Uhuru Kenyatta kama ishara kuwa Mpango wa Maridhiano (BBI) si tiba kwa changamoto za kisiasa nchini. Vuguvugu hilo la Linda Katiba linalojumuisha viongozi wa kisiasa na wa mashirika ya kutetea[Read More…]
By Isaac Waihenya , Serekali ina maafisa wa wafya wa kutosha walionauwezo wa kupeana chanjo ya Korona Nchini. Hayo ni kwa mujibu wa katibu wa utawala Katika wizara ya Afya daktari Mercy Mwangangi. Akizungumza mbele ya kamati ya Bunge Kuhusu afya, mwangangi ametaja kuwa wananchi hawafa kuhofia Kuhusu chanjo hiyo[Read More…]
By Jillo Dida Jillo, Tume ya kuwajiri waalimu Nchini TSC imekana madai kuwa imekuwa ikipanga hamisho za walimu kote nchini haswa katika ukanda wa kazkazini mwa nchi. Katika taarifa yake TSC imesema kuwa ripoti ya Arafa iliyotelewa ilikuwa ni ya kutoa mwelekeo mzuri kwa tume japo sio ya kuhamisha walimu.[Read More…]