Jimbo katoliki la Marsabit laadhimisha miaka 60 ya kueneza Injili.
November 23, 2024
By Silivio Nangori, Kamishna wa kaunti ya Marsabit Paul Rotich amewarai wazazi kuwaelekeza watoto wao katika maswala mengi za maisha na katika masomo yao ili kupunguza utovu wa nidhamu. Akizungumza na kituo hiki Rotich amesema kwamba asilimia 97% ya wanafunzi wa shule za msingi na asilimia 96 ya wale wa[Read More…]
By Jillo Dida Jillo, Wanaume 12 wamefikishwa,mbele ya mahakama ya Marsabit kwa kosa ya kuendesha piki piki bila stakabadhi hitajika. 12 hao walikamatwa na maafisa wa trafiki jumapili tarehe 31 mwezi Januari mwaka huu katika soko la Merile kaunti ndogo ya Marsabit Kusini. Wameshtakiwa kwa makosa ya kuendesha piki piki[Read More…]
By Mark Dida & Silvio Nangori Wachuuzi kutoka kaunti ya Marsabit eneo Bunge la Saku wameandamana hii leo wakilalamika kuhusu nyongeza ya Kodi kutoka shilingi 20 Hadi 100. Miongoni mwa malalamishi yao ni kwamba wanaokusanya Kodi wanafanya shughuli hiyo kwa ubaguzi jambo ambalo wengi wanadai ni hali ya kudhulumiwa ikizingatiwa[Read More…]
By Jillo Dida, Siku moja baada ya tume ya uwiano na utangamano kuonya dhidi ya Mjadala wa walala hoi na walala hai yaani hustlers na dynasties kwa madai kuwa inakosanisha wakenya baadhi ya wakaazi tuliozungumza nao hapa marsabit wamedai kuwa Kenya iteendelea kugawanyika Zaidi kwenye msingi wa maskini na matajiri. Gumzo hilo[Read More…]
By Waihenya Isaac, Tume Ya Uiano Na Utengamano Nchini NCIC Inangangana kuwarejesha viongozi wa jimbo hili Katika meza ya mazungumzo baada ya mazungumzo ya hapo awali kutawanyika. Hayo ni kwa mujibu wa kamishna wa tume hiyo Denvas Makori. Akizungumza na Idhaa hii kwa njia ya simu, Makori ametaja swala la[Read More…]
By Mark Dida, Naibu mkurugenzi wa shirika la kuhifadhi wanyama pori kaunti ya Marsabit Robert Obran amesema kuwa wanaendelea kufanyia tafiti pembe za ndovu zilizopatikana na majangili waliotiwa mbaroni na maafisa wa kulinda msitu KWS ili mahakama kufanya maamuzi. Hata hivyo Obran ametoa uwito kwa wakaazi wa Marsabit kuchukua jukumu[Read More…]
By Mark Dida, Zaidi Ya Vijana 2,000 Katika Kaunti Ya Marsabit Walijitokeza Kwenye Zoezi La Kusajiliwa Kama Vibarua Katika Shirika La Huduma Kwa Wanyamapori Nchini KWS. Naibu Mkurugenzi Mkuu Wa KWS Kaunti Ya Marsabit Robert Obrein Amesema Wamesajili Vijana 93 Kutoka Kaunti Zote Ndogo Jimboni Kati Ya Vijana Zaidi Ya[Read More…]
Gavana Wa Kaunti Ya Isiolo Mohamed Kuti. Picha; Hisani By Samuel Kosgei, Ni afueni kwa wakaazi wa kaunti ndogo ya Garbatulla baada ya serikali ya kaunti ya Isiolo kuzindua mashine aina tofauti ambazo zinalenga kuboresha huduma za matibabu katika eneo hilo na hata kwa watu wanoishi maeneo jirani. Akizindua mashine[Read More…]
Waziri Wa Fedha Ukur Yattani. Picha; Hisani. By Adano Sharawe, Waziri wa Fedha Ukur Yattani amewapa muda wa siku 3 Mbunge wa Saku Dido Ali Rasso na Mwakilishi wa Wanawake katika kaunti ya Isiolo Rehema Jaldesa, kumuomba msamaha kwa njia rasmi. Hatua hii inafuatia baada ya wawili hao kudai Yattani[Read More…]
By Adano Sharawe, Wasomi wa Jamii ya Borana kutoka Kaunti ya Marsabit na Isiolo wametoa wito kwa Rais Uhuru Kenyatta kuingilia kati na kumaliza hali ya utovu wa usalama katika eneo la Kaskazini ambao wanasema imechochewa na migogoro juu ya mipaka na rasilimali mbalimbali. Wakihutubia wanahabari jijini Nairobi, wasomi[Read More…]