Jimbo katoliki la Marsabit laadhimisha miaka 60 ya kueneza Injili.
November 23, 2024
Na Isaac Waihenya, Serekali imeitakiwa kuwachukulia hatua machifu na manaibu wao ambao wanaruhusu visa vya wizi wa mifugo kufanyika katika maeneo yao. Kwa mujibu wa naibu mwenyeketi wa baraza la dini mbalimbali katika jimbo la Marsabit InterFaith, Sheikh Mohamed Noor ni kuwa machifu huwa na ufahamu wa kila jambo linaloendela[Read More…]
Na Isaac Waihenya Tayari kaunti ndogo tano katika kaunti ya Marsabit ambazo ni Marsabit Central, Sololo, Loyangalani, Turbi/Bubisa na Chalbi zimekamilisha zoezi la ukaguzi wa shule za msingi, za kibinafsi na za umaa kuhusiana na uwezo wa shule hizo kuwa na shule za upili ngazi ya chini Junior Secondary. Kufikia[Read More…]
Na Emmanuel Amalo, Viongozi wa jamii ya Rendille wamekashifu vikali mauaji yaliyofanyika eneo la Yell Kurkum eneo bunge la laisamis. Wakizumgumza na vyombo vya habari jijini la Nairobi wakiongozwa na aliyekuwa anawania kiti cha Ugavana Sunya Orre viongozi hao waliitaka serikali kuchukua hatua kali kwa wahusika. Aidha wanaitaka serikali kurejesha[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Zoezi la kukagua shule zote za msingi za umaa na kibinafsi limeongoa nanga hii leo katika kaunti ya Marsabit. Kwa mujibu wa msimamizi wa kiwango cha ubora wa elimu katika kaunti ya Marsabit Mumas Wanyama ni kuwa zoezi hilo ambalo linatarajiwa kuendelea hadi tarehe 20 mwezi huu[Read More…]
Na Isaac Waihenya Idara ya usalama katika kaunti ya Marsabit itaaza zoezi la kuwapiga msasa watakaopewa nafasi za maafisa wa akiba yaani NPR mwishoni mwa mwezi huu wa Januari. Zoezi hilo linatarajiwa kukamilika kabla ya mwezi Machi mwaka huu. Kwa mujibu wa kaimu kamishna wa kaunti ya Marsabit David[Read More…]
By Isaac Waihenya, Wazazi wametakiwa kuwajukumisha watoto wao katika shughuli za nyumbani ili kuwaepusha kujiingiza katia uovu haswa wakiti huu wa msimu wa likizo ya Disemba. Kwa mujibu wa viongozi wa kidini jimboni ni kuwa ni jukumu la wazazi kuhakikisha kwamba watoto wao wamo salama wakti huu wa likizo. Wakiongozwa[Read More…]
Na Samwel Kosgei, wa lokesheni ya Tigo eneo bunge la North Horr kaunti ya Marsabit, wametoa wito kwa serikali kupitia viongozi wao kuwajengea shule ya msingi katika eneo hilo. Wakaazi hao kwa masikitiko wameambia Shajara Ya Jangwani kuwa ukosefu wa shule ya msingi ya umma umewaathiri wanafunzi wengi kwani baadhi[Read More…]
Na Isaac Waihenya. Eneo Bunge la North Horr ndilo eneo ambalo limeadhirika zaidi katika kaunti ya Marsabit kwenye orodha ya maeneo yaliyoratibishwa na tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC kuwa hayana mtandao wa 3G. Kwa ujumla kaunti ya Marsabit ina vituo 105 ambavyo havina mtandao wa 3G kati[Read More…]
Na Samuel Kosgei. Kamishna wa kaunti ya Marsabit Paul Rotich ameihakikishia umma kuwa kura ya uchaguzi mkuu hapa Marsabit utafanyika kwa njia ya utulivu na Amani. Akizungumza katika uwanja wa Marsabit wakti wa maombi kwa ajili ya jimbo, Rotich alisema kuwa wao kama serikali wameimarisha usalama na maafisa wao watazidi[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Gavana wa Marsabit Mohamud Ali ametangaza kuwa jamii ya Borana kwa kauli mmoja imekubaliana kuachia nafasi zingine za uongozi kwa jamii zingine na kuwania nafasi ya Ugavana pekee. Gavana Ali amesema kuwa jamii hiyo itafanaya kazi na jamii zingine katika kaunti hii na kuzipa nafasi ya kuwa[Read More…]