Local Bulletins

regional updates and news

Mtu Mmoja Auwawa Huku Mwingine Mmoja Akiuuguza Majeraha Ya Risasi Baada Ya Majambazi Kuvamia Eneo La Maji La Halakhe Yaya Hapa Marsabit Na Kuiba Mifugo.

By Jillo Dida, Mtu Mmoja Ameuwawa Huku Mwingine Mmoja Akiuuguza Majeraha Ya Risasi Baada Ya Majambazi Kuvamia Eneo La Maji La Halakhe Yaya Eneo Bunge La Saku Kaunti Hii Ya Marsabit Na Kuiba Mifugo Leo Asubuhi. Akithibitisha Hayo Kamanda Wa Polisi Katika Kaunti Ya Marsabit Samuel Mutunga Amesema Kuwa Anayeuguza[Read More…]

Read More

Waziri Wa Usalama Wa Ndani Daktari Fred Matiangi Atakiwa Kuongeza Maafisa Wa Polisi Katika Maeneo Yanayokumbwa Na Ukosefu Wa Usalama Mpakani Mwa Isiolo Na Wajir.

By Samuel Kosgei, Mbunge Wa Isiolo Kusini Abdi Tepo Amesema Kwamba Viongozi Wa Kifaifa Katika Kutoka Kaunti Ya Isiolo Wamemwandikia Barua Waziri Wa Usalama Wa Ndani Fred Matiangi Wakimtaka Kuongeza Maafisa Wa Polisi Katika Maeneo Yanayokumbwa Na Ukosefu Wa Usalama Mpakani Mwa Isiolo Na Wajir. Mbunge Huyo Aliyekuwa Akiongea Katika[Read More…]

Read More

Wazazi Katika Eneo La Loiyangalani Watakiwa Kuwarejesha Wanao Shuleni Kabla Hatua Kali Za Kisheria Kuchukuliwa Dhidi Yao.

By Samuel Kosgei, Wazazi Wa Wanafunzi Wanaoishi Katika Kaunti Ndogo Ya Loiyangalani Wameombwa Kufanya Hima Kuwarejesha Wanao Shuleni Kabla Hatua Kali Za Kisheria Kuchukuliwa Dhidi Yao. Naibu Kamishna Wa Eneo Hilo Stephen Mavina Akizungumza Na Kituo Hiki Amesema Kuwa Bado Kuna Changamoto Wanayokumbana Nayo Kuhakikisha Kuwa Watoto Wote Wanarudi Shuleni[Read More…]

Read More

Jamii Ya Marsabit Imetakiwa Kusitisha Mila Potovu Ya Ukeketaji Wa Wasichana.

By Adho Isacko Katibu Wa Utawala Katika Wizara Ya  Elimu Mumina Bonaya Ameitaka Jamii Ya Marsabit Kusitisha Mila Potovu Ya Ukeketaji Wa Wasichana. Akizungumza Hii Leo Katika Shule Ya Msingi Ya Al-Hidaya Hapa Mjinini Marsabit Alipozuru Kutathmini Utayarifu Wa Shule  Katika Kaunti Hii, Mumina Amesema Kuwa Wazari Wananaozingatia Mila Mbali[Read More…]

Read More

Kaunti tatu pekee kati ya 47 zilifanikiwa kuafikia shabaha ya ukusanyaji mapato katika robo ya kwanza ya mwaka wa fedha wa 2020/21.

By Adano Sharawe, Kaunti tatu pekee kati ya 47 zilifanikiwa kuafikia shabaha ya ukusanyaji mapato katika robo ya kwanza ya mwaka wa fedha wa 2020/21. Ripoti ya mkaguzi wa bajeti Margaret Nyakang’o inaonyesha kuwa kaunti ya  Kirinyaga imeafikia makadirio yake katika miezi mitatu ya kwanza baada ya kukusanya jumla ya[Read More…]

Read More

Hatma Ya Walimu Zaidi Ya Elfu 300 Walio Na Cheti Cha P1 Ambao Hawajaajiriwa Haijulikani Baada Ya Serikali Kuogeza Vigezo Vya Kufuzu Na Cheti Hicho.

By Samuel Kosgei, Hatma Ya Walimu Zaidi Ya Elfu 300 Walio Na Cheti Cha P1 Ambao Hawajaajiriwa Haijulikani Baada Ya Serikali Kuogeza Vigezo Vya Kufuzu Na Cheti Hicho. Mwezi May Mwaka Huu Vyuo Vya Kutoa Mafunzo Kwa Walimu Vinatarajiwa Kuanza Kutoa Huduma Za Diploma Pekee Ili Kuwiana Na Mtalaa Mpya[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter