Local Bulletins

regional updates and news

Dido Ali Raso at the helm of Pastoralists’ caucus By Machuki Dennson SakuMember of Parliament Hon. Dido Ali Raso has been elected patron of Pastoralist Parliamentary Group, Hon. Raso is taking over from former Garissa Township MP Aden Duale who joined the executive as Cabinet Secretary for Defence. The new[Read More…]

Read More

WAWAKILISHI wadi kaunti ya Marsabit wamesema kuwa wako tayari kufanya kazi pamoja na gavana wa sasa Mohamud Ali kwa ajili ya maendeleo ya wananchi.

Na Samuel Kosgei, WAWAKILISHI wadi kaunti ya Marsabit wamesema kuwa wako tayari kufanya kazi pamoja na gavana wa sasa Mohamud Ali kwa ajili ya maendeleo ya wananchi. Wawakilishi wadi hao wakiongozwa na MCA wa Marsabit Central Jack Elisha wamesema kuwa wakati wa siasa umeisha na kwa ajili ya kufaidi wananchi[Read More…]

Read More

Pastrol Women In Laisamis,Marsabit contribute Ksh.795,815 Courtesy of BeadWORKS Kenya.

By Adelaide, At least 300 Pastoral women in Laisamis under Melako conservancy, Marsabit today contributed Ksh.795,815 courtesy of BeadWORKS kenya an initiative under NRT.The contribution was set to support priority livelihoods and operations programs for the conservancy. BeadWORKS Kenya is an NRT initiative that is aimed at resilience building and[Read More…]

Read More

Mifugo elfu 300 kaunti ya Marsabit wamekufa kutokana na kiangazi kikali kinachoshuhudiwa kutokana na ukosefu wa mvua.

Na Samuel Kosgei, MRATIBU mkuu wa mamlaka ya kudhibiti athari za ukame NDMA tawi la Marsabit Mustafa Parkolwa amesema zaidi ya mifugo elfu 300 kaunti ya Marsabit wamekufa kutokana na kiangazi kikali kinachoshuhudiwa kutokana na ukosefu wa mvua kutonyesha kwa misimu mitano. Akizungumza na shajara kwenye kikao cha pamoja cha[Read More…]

Read More

Wanafunzi 54 katika kaunti ya Marsabit na Samburu wapokea ufadhili wa masomo kupitia shirika lisilo la kiserikali Kenya Drylands Education Fund.

Na Silvio Nangori, Wanafunzi 54 wanaotoka katika familia maskini katika kaunti ya Marsabit na Samburu wamepokea ufadhili wa masomo kupitia shirika lisilo la kiserikali Kenya Drylands Education Fund. Akizungumza na shajara ya jangwani Mkurugenzi mkuu wa shirika hilo Ahmed Kura amesema kwamba waliopata ufadhili huo ni wale wasiojiweza katika jamii.[Read More…]

Read More

Lazima walioiba chakula cha msaada Sololo wakumbane na mkono wa sheria – Asema Seneta Mohamed Chute.

Na Silvio Nangori, Seneta wa kaunti ya Marsabit Muhamud Chute ametoa wito kwa idara ya usalama kuwakamata wanaoshukiwa kuhusika katika wizi wa chakula unaodaiwa kufanyika  katika eneo la sololo eneo bunge la Moyale kaunti ya Marsabit. Akizungumza na idhaa hii moja kwa moja Seneta Chute amesema kwamba ni aibu zaidi[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter