Local Bulletins

regional updates and news

Hisia mseto zazidi kuibuliwa kuhusiana na kauli ya Waziri wa Elimu Prof George Magoha kuwa ni lazima wazazi walipe karo ya shule ya muhula wa 3 la sivyo watoto warejeshwe manyumbani.

By Samson Guyo, Hisia mseto zinazidi kuibuliwa kuhusiana na kauli ya Waziri wa Elimu Prof George Magoha   kuwa ni lazima wazazi walipe karo ya shule ya muhula wa 3 la sivyo watoto warejeshwe manyumbani. Baadhi ya wazazi waliozungumza na idhaa hii  mjini  Marsabit wametaja kuwa serekali haifai kulazimisha wazazi kulipa[Read More…]

Read More

Serekali yatenga Shillingi billioni 2.227 za awamu ya kwanza ya ujenzi wa Barabara kuu ya Marsabit-Shegel

By Samson Guyo & Grace Gumato Serekali imetenga Shillingi billioni 2.227 za awamu ya kwanza ili kujenga Barabara kuu ya Marsabit-Shegel ikiwa ni mpango wa kutengeza barabara kuu kutoka Marsabit kuelekea Northhorr. Akizungumza na shajara ya radio jangwani mhandisi mkuu wa mradi huo Joel wairua ameelezea kuwa awamu hiyo ya kwanza[Read More…]

Read More

Shirika la Haki Afrika latishia kuwashtaki maafisa wa polisi wanaowaachilia huru washukiwa wa dhulma za kijinisia.

By  Waihenya Isaac, Shirika la kutetea haki za binadamu la Haki Afrika limetishia kuwashtaki maafisa wa polisi wanaowaachilia huru washukiwa wa dhulma za kijinisia. Afisa wa shirika hilo Abdulrahman Mwangoka amewataka wakuu wa idara ya polisi kufuatilia suala hilo ili maafisa hao wakabiliwe kisheria. Mwangoka ameshtumu vikali hulka ya maafisa wa polisi[Read More…]

Read More

Maoni ya Wananchi mjini Marsabit kuhusiana na bajeti ya mwaka wa 2021/2022

By Samson Guyo, Huku bajeti ya kitaifa ikitarajiwa kusomwa alhamisi tarehe 10 mwezi huu,baadhi ya wananchi katika kaunti ya Marsabit wameelezea kusikitishwa na baadhi ya maswala yaliyopo kwenye bajeti. Wakizungumza na idhaa hii wakaazi hao wamelalama kuwa mwaka nenda mwaka rudi matatizo yamekua yale yale kwa wananchi wa kawaida. Aidha[Read More…]

Read More

Mswaada wa mifungo unaolenga kudhibiti ufugaji wa nyuki hautaidhinishwa. – Asema Waziri Chulungui.

By Waihenya Isaac Waziri wa leba Simon Chilugui amekashifu mswaada wa mifungo unaolenga kudhibiti ufugaji wa nyuki akisema kwamba utawakandamiza wanaofanya biashara hiyo. Waziri Chulugui amesema kuwa ipo wakaazi wanaotegemea nyuki kwa mapato yao na kuahidi kuwa mswaada huo hautaidhinishwa. Mwaada huo unapendekeza marufuku ya kufuga nyuki Katika ardhi ya[Read More…]

Read More

Wanawake watekelezwa Marsabit na hata kufanyiwa uamuzi muhimu wakati wa majanga

Na Waihenya Isaac, Jamii nyingi katika kaunti ya Marsabit zimewatelekeza wanawake huku wengi wao wakiumia kipindi kunapotokea majanga kwa kukosa ufahamu. Haya yamebainishwa wakati wa hafla ya kuwahamasisha wanawake kuhusu namna ya kujimudu wakati wa majanga. Afisa anayesimamia shughuli hiyo Sahara Ahmed amesema kuwa ipo hoja ya wanawake kupewa elimu[Read More…]

Read More

Waokaje wa mikate waonywa dhidi ya kupunguza uzani na kutoa matangazo ya uwongo

Silvio Nangori Mamlaka ya kuthibiti Mashindano katika Biashara nchini imwaagiza waokaji wa mikate kukoma kuwaibia wakenya. Kwenye taarifa yake hii leo Mamlaka hiyo imewaagiza wote wanaotengeneza mikate kuweka bayana taarifa yote muhimu katika uuzaji wa mikate yao. Mamlaka hiyo imewataka waokaji wa mikate kuweka wazi tarehe ya kutengenezwa kwa mikate[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter