Local Bulletins

regional updates and news

SEREKALI YA KAUNTI YA MARSABIT YATAKIWA KUWAPIGA JEKI VIJANA NA WANAWAKE ILI KUPUNGUZA KIWANGO CHA UMASKINI.

Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya kumaliza umaskini duniani,serekali ya kaunti ya Marsabit pamoja na ile ya kitaifa zimetakiwa kuwapiga jeki vijana na wanawake haswa walio katika sekta ya kilimo ili kupunguza kiwango cha umaskini katika kaunti ya Marsabit. Kulingana na mkurugenzi wa shirika la maendeleo endelevu, Initiative for Progressive Change[Read More…]

Read More

WAZAZI KAUNTI YA MARSABIT WAHIMIZWA KUJUKUMIKA ZAIDI NA KUWATUNZA WATOTO WAO DHIDI YA MAOVU KATIKA KIPINDI CHA LIKIZO.

Wazazi katika kaunti ya Marsabit wamehimizwa kujukumika zaidi na kuwatunza watoto wao dhidi ya maovu yanayoweza kujiri kipindi cha likizo. Kwa mjibu ya mwenyekiti wa chama cha wazazi katika kaunti ya Marsabit, Ali Nur ambaye amezungumza na idhaa hii kwa njia ya simu, amewataka wazazi kuhakikisha kwamba wanafuatilia mienendo ya[Read More…]

Read More

WAZAZI KATIKA KAUNTI YA MARSABIT WAHIMIZWA KUWAJIBIKA KWA KUCHUNGA WANAO KATIKA KIPINDI CHA LIKIZO NDEFU YA MWEZI DISEMBA.

Wazazi katika kaunti ya Marsabit wahimizwa kuwajibika kwa kuchunga wanao katika kipindi cha likizo ndefu ya mwezi Disemba. Huku wanafunzi wakitarajiwa kuelekea likizo ndefu ya mwezi disemba, wazazi katika kaunti ya Marsabit wamehimizwa kuwajibika kwa kuchunga wanao kipindi hicho cha likizo. Ushauri huo umetolewa naye mkurugenzi mkuu wa shirika la[Read More…]

Read More

ASILIMIA 47.9 YA KAYA KATIKA KAUNTI NDOGO YA SAKU ZINAMILIKI VYOO.

Asilimia 47.9 ya kaya katika kaunti ndogo ya Saku zinamiliki vyoo na kuvitumia katika kuzuia utupaji wa kinyesi ovyo maarufu Open Defecation Free (ODF) Haya ni kwa mujibu wa afisa wa afya katika kaunti ndogo ya Saku Gobba Boru. Akizungumza kwenye hafla ya kuadhimisha siku ya usafi wa mkono duniani iliyoandaliwa katika[Read More…]

Read More

Arbe Roba Gocha na Leah Lesila wafanya vyema katika mashindano ya Nondo Desert Wheel Chair yaliyoandaliwa mnamo siku ya jumamosi kaunti ya Isiolo.

Afisa mkuu katika idara ya utamaduni na jinsia kaunti ya Marsabit Anna Maria Denge amewapongeza Arbe Roba Gocha na Leah Lesila ambao walipeperusha bendera ya Marsabit kwenye mashindano ya watu wanaoishi na ulemavu ya Nondo Desert Wheel Chair yaliyoandaliwa mnamo siku ya jumamosi katika kaunti ya Isiolo. Arbe Roba Gocha[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter