Local Bulletins

regional updates and news

Viongozi wa kisiasa katika kaunti ya Marsabit wanafaa kuwajibikia swala la usalama kikamilifu.

Na Waihenya Isaac, Viongozi wa kisiasa katika kaunti ya Marsabit wanafaa kuwajibikia swala la usalama kikamilifu na kuhubiri Amani katika mikutano yao. Hayo ni kwa mujibu wa muaniaji wa kiti cha ubunge katika eneobunge la Saku mwaka wa 2022 Abduba Barille. Akizungumza na waandishi wa habari,Barille ametaja kuwa wanasiasa katika[Read More…]

Read More

Viongozi ambao hawashabikii Amani hawafai kuchaguliwa kwa vyovyote vile. – Asema Askofu Daniel Qampicha.

Na Waihenya Isaac, Viongozi ambao hawashabikii swala la Amani katika kaunti ya Marsabit hawafai kuchaguliwa kwa vyovyote vile. Hayo ni kwa mujibu wa Askofu wa kanisa la Kiangilikana katika kaunti ya Marsabit Daniel Qampicha. Akizungumzasiku ya jumapili katika kaunti ya Marsabit wakti wa maadhimisho ya miaka 10 tangu kuasisiwa kwa[Read More…]

Read More

Watoto watatu waendelea kupokea matibabu katika hospitali ya rufaa ya Marsabit baada ya kupigwa risasi usiku wa kuamkia leo.

Na Emmanuel Amalo, Watoto watatu wamefikishwa katika hospitali ya rufaa ya Marsabit baada ya kupigwa risasi usiku wa kuamkia leo baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana. Akidhibitisha kisa hicho afisa mkuu wa hospitali ya rufaa ya Marsabit Liban Wako amesema kwamba kwa sasa watatu hao wanauguza majeraha ya risasi ila[Read More…]

Read More

Maseneta wamemtaka waziri wa elimu George Magoha pamoja na wakuu wa chama cha shule za upili KESHA kufika mbele yake.

Na Waihenya Isaac, Maseneta wamemtaka waziri wa elimu George Magoha pamoja na wakuu wa chama cha shule za upili KESHA kufika mbele yake kutoa maelezo kuhusiana na kukithiri kwa visa vya uteketezaji wa majengo ya shule. Maseneta hao aidha wamelalamikia utovu wa nidhamu ya wanafunzi miongoni mwa wanafunzi vilevile kipindi[Read More…]

Read More

IEBC Misses its Target by over 4.5M Voters

By Macuki Dennson The Independent Electoral and Boundaries Commission IEBC has said that it missed its target by 4,578,290 voters. This is after the IEBC only registered 1,421, 710 Kenyans as new voters in the mass voter registration that ended 2nd of November 2021. 359,834 Kenyans transferred their voting centres[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter