NDOTTO WARRIORS WATWA UBINGWAWA TAJI LA AHMED KURA TOURNAMENT MWAKA 2024…
December 18, 2024
Eng. Mohamed Tache Diba Picha:Hisani By Waihenya Isaac, Afisa Mkuu Wa Mipango Ya Kiuchumi Katika Kaunti Ya Marsabit Eng. Mohamed Tache Diba Ameweka Wazi Kuwa Anaugua Homa Hatari Ya Korona, Ingawa Hana Dalili Zozote. Eng. Tache Ni Mmoja Kati Ya Watu 16 Kutoka Hapa Jimboni Waliokutwa Na Virusi Vya Korona[Read More…]
By Adano Sharawe & Sanwel Kosgei, Kenya Inaungana Na Ulimwengu Mzima Katika Maadhimisho Ya Siku Ya Kupambana Na Ukimwi Duniani Wakati Ambapo Dunia Nzima Inajizatiti Kukabiliana Na Maambukizi Ya Virusi Vya Covid-19. Wataalam Wanaonya Kuwa Juhudi Zilizoafikiwa Za Kukabiliana Na UKIMWI, Huenda Zikapotea Kwani Nguvu Nyingi Kwa Sasa Zinatumika Katika Vita[Read More…]
By Waihenya Isaac, Viongozi Kutoka Eneo La Bonde La Ufa Wanamtaka Rais Uhuru Kenyatta Kumfuta Kazi Mkurugenzi Mkuu Wa Upelelezi Wa Jinai DCI George Kinoti Kwa Kujaribu Kufufua Kesi Za Ghasia Za Baada Ya Uchaguzi Mkuu Wa Mwaka Wa 2007/2008. Wakiongozwa Na Gavana Wa Uasin Gishu Jackson Mandago Na[Read More…]
Photo: Courtesy By Waihenya Isaac, Klabu Ya Chelsea Imeripotiwa Kuwa Makini Kupata Huduma Za Mchezaji Nyota Wa Argentina Na Barcelona Lionel Messi Msimu Ujao Wa Majira Ya Joto Mwakani. Inaarifiwa Kuwa Chelsea Wamekuwa Wakifuatilia Kwa Karibu Hali Ya Messi Na Miamba Hao Wa La Liga. Haya Yanajiri Miezi Michache Tu[Read More…]
Na Adano Sharawe. Watu 2 wameripotiwa kufariki huku wengine kadhaa wakipata majeraha mbalimbali baada ya gari dogo kuhusika kwenye ajali mapema leo katika barabara ya Marsabit-North Horr. Ajali hiyo ilitokea eneo la Dadhach Boshe kilomita chache kutoka hapa mjini Marsabit. Gari hilo lilikuwa safarini likitokea North Horr. Inasemekana kuwa gari[Read More…]
Na Waihenya Isaac. Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Misri chini ya umri wa miaka 23 Shawky Gharib, amesema ni mapema mno kutangaza maamuzi ya kumjumuisha mshambuliaji wa Liverpool Mohamed Salah, kwenye kikosi chake kwa ajili ya michuano ya Olimpiki 2020, itakayofanyika mjini Tokyo, Japan. Tayari Misri imeshafuzu kushiriki[Read More…]
Na Waihenya Isaac. Tottenham Hotspurs Manager Josehe wants to see the “REAL” Dele Alli again at Tottenham and has challenged the England international to turn his form around. Alli established himself as one of the brightest talents in English football under Mauricio Pochettino at Spurs, contributing prolifically from midfield. He[Read More…]
Na Adano Sharawe. Afisa mmoja wa polisi katika kambi ya Buluk, kaunti ndogo ya North Horr aliyeripotiwa kupotea siku 3 zilizopita amepatikana akiwa ameaga dunia. Konstabo Abdiaziz Mohammed Aden aliripotiwa kutoweka siku ya Jumatatu wiki hii. Mwili wake uliokuwa umeanza kuoza ulipatikana na wafugaji eneo la Araftis, lokesesheni ya Sabare[Read More…]