JAMII YA MARSABIT YATAKIWA KUJITOKEZA KUPIMWA UGONJWA WA MENINGITIS ILI KUPATA MATIBABU MAPEMA.
November 15, 2024
By Silivio Nangori, Kamishna wa kaunti ya Marsabit Paul Rotich amewarai wazazi kuwaelekeza watoto wao katika maswala mengi za maisha na katika masomo yao ili kupunguza utovu wa nidhamu. Akizungumza na kituo hiki Rotich amesema kwamba asilimia 97% ya wanafunzi wa shule za msingi na asilimia 96 ya wale wa[Read More…]
By Jillo Dida Jillo, Wanaume 12 wamefikishwa,mbele ya mahakama ya Marsabit kwa kosa ya kuendesha piki piki bila stakabadhi hitajika. 12 hao walikamatwa na maafisa wa trafiki jumapili tarehe 31 mwezi Januari mwaka huu katika soko la Merile kaunti ndogo ya Marsabit Kusini. Wameshtakiwa kwa makosa ya kuendesha piki piki[Read More…]
By Mark Dida & Silvio Nangori Wachuuzi kutoka kaunti ya Marsabit eneo Bunge la Saku wameandamana hii leo wakilalamika kuhusu nyongeza ya Kodi kutoka shilingi 20 Hadi 100. Miongoni mwa malalamishi yao ni kwamba wanaokusanya Kodi wanafanya shughuli hiyo kwa ubaguzi jambo ambalo wengi wanadai ni hali ya kudhulumiwa ikizingatiwa[Read More…]
By Jillo Dida, Siku moja baada ya tume ya uwiano na utangamano kuonya dhidi ya Mjadala wa walala hoi na walala hai yaani hustlers na dynasties kwa madai kuwa inakosanisha wakenya baadhi ya wakaazi tuliozungumza nao hapa marsabit wamedai kuwa Kenya iteendelea kugawanyika Zaidi kwenye msingi wa maskini na matajiri. Gumzo hilo[Read More…]
By Samuel Kosgei, Mashirika ya Kimataifa ya kushughulikia matakwa ya walimu sasa yanataka mzozo wa muda baina ya Tume ya Huduma za Walimu,TSC na Chama cha Kitaifa cha Walimu, KNUT kutatuliwa kwa haraka na Rais Uhuru Kenyatta Mashirika hayo mawili, Education International na International Trade Union Confederation, yameitaka TSC kukoma kuwaondoa walimu[Read More…]
By Samuel Kosgei, Mali ya dhamani isiyojulikana imeteketea baada ya moto kuchoma ofisi na bunge la kaunti ya Garissa. Inaripotiwa kuwa Moto mkubwa ulianza kuonekana katika jengo hilo majira ya saa mbili unusu asubuhi ikitajwa kuharibu bunge lenyewe na ofisi za idara mbalimbali bungeni. Kulingana na kiongozi wa wachache katika[Read More…]
By Waihenya Isaac, Gavana wa Kaunti ya Kakamega Wycliffe Oparanya ameelezea matumaini ya kupata tiketi ya chama cha ODM ili kuwania urais mwaka wa 2022. Oparanya, ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Magavana nchini, amesema atatuma ombi la kuteuliwa ili kujiunga na wale watakaopigania tiketi ya chama hicho ya kuwania[Read More…]
By Waihenya Isaac, Tume Ya Uiano Na Utengamano Nchini NCIC Inangangana kuwarejesha viongozi wa jimbo hili Katika meza ya mazungumzo baada ya mazungumzo ya hapo awali kutawanyika. Hayo ni kwa mujibu wa kamishna wa tume hiyo Denvas Makori. Akizungumza na Idhaa hii kwa njia ya simu, Makori ametaja swala la[Read More…]
By Adano Sharawe, Uongozi wa Chama cha Jubilee katika Bunge la Kaunti ya Nairobi umejitenga na matamshi ya Gavana wa zamani wa Nairobi Mike Sonko kuhusu ghasia za uchaguzi mkuu wa mwaka 2017. Wakiongozwa na kiongozi wa wengi wa Bunge hilo Abdi Guyo, wameshutumu matamshi ya Sonko na kumtaka kubeba[Read More…]
By Radio Jangwani, Tume ya Huduma za Walimu, TSC imetangaza rasmi nafasi elfu moja za kuwapandisha vyeo walimu kuanzia mwezi ujao wa Februari TSC inalenga kuwapandisha vyeo walimu 492 wa shule za upili walio chini ya kitengo cha kwanza cha kazi T-scale 8. Aidha walimu wengine ni mia tatu sitini[Read More…]