Wizara ya afya Marsabit yadhibitisha uhaba wa chanjo ya BCG kama ilivyo kote nchini.
January 16, 2025
By Silivio Nangori, Hii leo ikiwa ni siku ya wanyama pori Duniani taifa linaadhimisha siku hiyo katika eneo la Shimoni kaunti ya Kwale. Naibu Mkurugenzi wa Shirika la kuwalinda wanyama pori Kaskazini mashariki mwa nchi Robert Obrein ametaja siku hii kuwa muhimu sana katika kuhamasisha wananchi kuhusiana na utunzaji wa[Read More…]
By Samuel Kosgei, Naibu katibu mkuu mpya wa chama cha Jubilee Joshua Kutuny amesema kuwa hawezi akachelea kuanzisha mswada wa kumtimua naibu wa rais William Ruto kutoka chama hicho tawala cha jubilee. Hata hivyo Kutuny ambaye ni mbunge wa Cherangany amesema licha ya kuwa hajapokea taarifa zozote za kutimuliwa kwa[Read More…]
By Waihenya Isaac, Rasimu ya Mswaada wa marekebisho ya Katiba ya mwaka 2020 BBI utawasilishwa bungeni hapo kesho. Spika wa bunge la kitaifa Justin Muturi aliagiza mswada huo uwasilishwe bungeni kwa Usomaji wake wa kwanza. Karani wa Bunge ameelekezwa kupata nakala za kutosha za Mswaada huo. Nakala hizo zinapaswa kuwa katika mfumo[Read More…]
By Mark Dida, Naibu mkurugezi wa shirika la kulinda wanyama pori kws Katika eneo la kaskazini mwa kenya Robert Obrein amewasuta wafugaji kwa kukata ua wa umeme Katika eneo la hulahula na karare ili kupata njia ya mkato kuingia msitituni. Akizungunza na idha hii kupitia njia ya simu Obrein ametaja[Read More…]
By Guyo Godana. NA Guyo Godana Wakaazi wa eneo la Toricha katika wadi ya Maikona, wamelalamikia kusahaulika n ahata kutelekezwa na serikali ya kaunti ya Marsabit. Wenyeji hao wakiszungumza na Radio Jangwani wanasema kwamba zahanati ilijengwa katika eneo hilo miaka mitano iliyopita ila kufikia sasa hawajaona matunda yoyote ya zahanati[Read More…]
By Samuel Kosgei, Gavana wa Marsabit Mohammud Ali amekashifu vikali Idara ya usalama katika kaunti ya Marsabit kwa madai ya kuzembea kazini na kuchangia kudumu kwa machafuko na mauaji ya kila mara katika jimbo la Marsabit. Akizungumza katika hafla ya kuzindua kliniki ya saratani katika hospitali kuu ya Marsabit, Ali[Read More…]
By Waihenya Isaac Wakenya wametakiwa kutoingiza siasa swala la kukabiliana na ufisadi nchini na badala yake kupiga jeki zoezi hilo kwa kupiga ripoti wanaposhuhudia visa vyovyote vya ufisadi. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa tume ya maadili na kupambana na ufisadi nchini EACC Eliud Wabukala ni kuwa vita dhidi ya ufisadi[Read More…]
By Adano Sharawe, Wizara ya Afya imeomba Shilingi bilioni 1.4 kutoka Wizara ya Fedha kupanua vituo vya kuhifadhi chanjo kote nchini na kununua vifurushi ambavyo vinaweza kuhifadhi chanjo hizo katika kiwango cha nyuzi kinachokubalika. Mkuu wa jopo la kusambaza chanjo za kukabiliana na maradhi ya Corona Willis Akhwale, amesema vituo[Read More…]
By Waihenya Isaac Kiongozi wa wengi katika bunge la kitaifa Amos Kimunya amesema kuwa Bunge liko tayari kuandaa mswaada wa kura ya maamuzi na marekebisho ya katiba huku kaunti zikitarajiwa kuwasilisha matokeo ya kura ya mswaada wa BBI wiki ijayo. Akizungumza na waandishi wa habari,Kimunya ametaja kuwa kesi iliopo[Read More…]
By Samuel Kosgei, Huenda ikawa afueni kwa wakaazi wa jimbo la Marsabit haswa kwa wale wanaougua ugonjwa wa saratani baada ya kliniki ya kuchunguza na kutoa ushauri kwa kero la saratani kuzinduliwa rasmi hii leo. Shughuli ya uzinduzi huo imeongozwa na Gavana Mohamoud Ali. Mama kaunti Alamitu Jattani ambaye ndiye[Read More…]