County Updates, Diocese of Marsabit, Local Bulletins

Afueni Kwa Wakaazi Wa Jimbo La Marsabit Haswa Wanaougua Ugonjwa Wa Saratani Baada Ya Kliniki Ya Kuchunguza Na Kutoa Ushauri Kwa Kero La Saratani Kuzinduliwa Rasmi Hii Leo.

Picha; Samuel Kosgei

By Samuel Kosgei,

Huenda ikawa afueni kwa wakaazi wa jimbo la Marsabit haswa kwa wale wanaougua ugonjwa wa saratani baada ya kliniki ya kuchunguza na kutoa ushauri kwa kero la saratani kuzinduliwa rasmi hii leo.

Shughuli ya uzinduzi huo imeongozwa na Gavana Mohamoud Ali.

Mama kaunti Alamitu Jattani ambaye ndiye mwasisi wa kliniki hiyo ya kutambua saratani amewaalika wake wa magavana zaidi ya wanane wakiwemo:

Picha:Samuel Kosgei

Dorothy Ogaya Buyu wa Kisumu, stella samboja taita taveta, Nazi Kivutha Makueni, maria mbeneka laikipia, Ivy Bunei Baringo kaunti, saline chepngeno bomet, christine mvurya kwale Kati ya wengine.

More to Follow

Subscribe to eNewsletter