Author: Isaac Waihenya

Wanaume watano wamefikishwa kizimbani katika mahakama ya Marsabit kwa makosa ya wizi kinyume cha sheria kwenye kesi mbili tofauti.

Picha;Radio Jangwani By Grace Gumato, Wanaume watano wamefikishwa kizimbani katika mahakama ya Marsabit kwa makosa ya wizi kinyume cha sheria kwenye kesi mbili tofauti. Ramadhan Halkano, Diba Golicha, Abdi Hirbo na Hussein Yussuf walikamatwa jana Jumanne ambapo wameshtakiwa kwa makosa ya kumuibia mfanyibiashara Isacko Orto mashine ya kusaga nyasi ya[Read More…]

Read More

Mswada kuhusu dawa za kulevya kurejeshwa Bungeni – wakati huu ukiwa na vipengee vinavyopendekeza adhabu kali zaidi.

Na Waihenya Isaac, Rais Uhuru Kenyatta ana mpango wa kurejesha mswada wa mwaka jana bungeni kuhusu dawa za kulevya, wakati huu ukiwa na vipengee vinavyopendekeza adhabu kali zaidi. Tayari baadhi ya wabunge wamepongeza hatua hii lakini kwa wakati huo akaomba mswada huo upigwe msasa ili uzingatie zaidi kumsaidia mraibu kurekebika[Read More…]

Read More

Dereva aliyehusika katika ajali iliyowaua watu wawili hula hula Marsabit awasilishwa mahakamani.

By Grace Gumato Na katika mahakama hiyo hiyo ya Marsabit, dereva aliyehusika katika ajali ya Hulahula iliyowaua watu wawili amewasilishwa mahakamani. Isaya Roble Elsimonte alifikiwa mbele ya hakimu Tom Mbayaki na kushtakiwa kwa mashataka ya mauaji ya kukusudia kwa kuendesha gari vibaya kinyume na sheria. Elsimote alikamatwa siku ya Jumatatu[Read More…]

Read More

Mwanaume mmoja ahukumiwa kifungo cha miaka 30 gerezani kwa mashtaka ya wizi wa kimabavu na kumiliki silaha kinyume cha sheria.

By Grace Gumato, Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 30 amehukumiwa kifungo cha miaka 30 gerezani kwa mashtaka ya wizi wa kimabavu na kumiliki silaha kinyume cha sheria. Mshukiwa Ltaramatwa Lemangas alikamatwa tarehe 18 september, 2020 maeneo ya Namarei-Ngurunit kaunti ndogo ya Laisamis, ikidaiwa kuwa alisimamisha gari la kibinafsi na[Read More…]

Read More

Ni watu 129 pekee ambao wamesajiliwa kama wapiga kura katika kaunti ya Marsabit katika zoezi jipya linaloendelea kwa sasa la kuwasajili wapiga kura.

By Mark Dida, Ni watu 129 pekee ambao wamesajiliwa kama wapiga kura katika kaunti ya Marsabit katika zoezi jipya linaloendelea kwa sasa la kuwasajili wapiga kura. Kwa mujibu wa meneja wa tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC tawi la Marsabit Festus Murithi, nikuwa 129 hao wamesajiliwa tangu zoezi[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter