County Updates, Local Bulletins

Mwanaume mmoja ahukumiwa kifungo cha miaka 30 gerezani kwa mashtaka ya wizi wa kimabavu na kumiliki silaha kinyume cha sheria.

By Grace Gumato,

Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 30 amehukumiwa kifungo cha miaka 30 gerezani kwa mashtaka ya wizi wa kimabavu na kumiliki silaha kinyume cha sheria.
Mshukiwa Ltaramatwa Lemangas alikamatwa tarehe 18 september, 2020 maeneo ya Namarei-Ngurunit kaunti ndogo ya Laisamis, ikidaiwa kuwa alisimamisha gari la kibinafsi na kuwatishia kwa bunduki waliokuwemo kwenye gari hilo kabla ya kuwaibia pesa kiasi kisichojulikana.
Lemangas alifikishwa mbele ya hakimu Tom Mbayaki Wafula ambapo alikanusha kuhusika kwenye uhalifu huo.
Mshukiwa ana haki ya kukataa rufaa ndani ya siku 14.

4 Comments

  1. buy viagra online usa viagra – viagra without a doctor prescription

  2. As soon as I discovered this site I went on reddit to share some of the love with them.

  3. I went over this site and I think you have a lot of good info , saved to bookmarks (:.

Leave a Comment

Your email address will not be published.

Subscribe to eNewsletter