Mfumo wa kutatua kesi nje ya mahakama (AJS) wazinduliwa rasmi,Marsabit.
November 23, 2024
Na Samuel Kosgei Aliyekuwa mbunge wa North Horr Chachu Ganya alipokelewa kwa shangwe na mbwembwe katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa JKIA baada ya kurejea nchini akitokea Marekani alikotuzwa tuzo ya kimataifa ya marekani ya Sol Feistone aliyopewa baada ya jitihada zake za kuwasaidia watoto maskini zaidi ya 2000[Read More…]
Na Samuel Kosgei Baraza Kuu la Waislamu Kenya SUPKEM limeendelea kusisitiza kwamba serikali isijihusishe na taasisi za kidini ikizingatia kuwa Kenya ni nchi ya kidemokrasia. Badala yake, SUPKEM imependekeza kuundwa kwa makosa ya kidini ambayo yatatumiwa kutambua watu wanaokwenda kinyume na mafundisho na ambao watakabiliwa na adhabu kulingana na[Read More…]
Na Isaac Waihenya Mbunge wa Moyale Profesa Guyo Wako Jaldesa amedhibitisha kuwa ni kweli kuna baadhi ya wanafunzi katika eneo bunge lake wanaopewa hadi shilingi elfu 100,000 fedha za busari ya CDF. Akizungumza na Radio Jangwani kwa njia ya Simu, mtunga sheria huyo alitaja kuwa hilo liliafikiwa kati yake na[Read More…]
Picha Silvio Nangori Na Silvio Nangori Hospitali ya Rufaa ya Marsabit hii leo imezindua mashine ya kuzalisha oksijeni ambayo inaweza kuzalisha mitungi 10 ya kilo hamsini ndani ya saa 24. Mashine hiyo ambayo imegharimu takriban milioni 20 imefadhiliwa na Shirika la Marekani la USAID. Katika hafla hiyo hospitali ya Rufaa[Read More…]
Na Isaac Waihenya Serekali ya kaunti ya Garissa imeanzisha mikakati ya kukamilisha miradi yote iliyokwama ya ujenzi wa masoko kwa malengo ya kuimarima zoezi la ukusanyaji ushuru. Akizungumza baada ya kuzuru masoko ya Mikono na Suuk Mac D, Gavana wa kaunti hiyo Nathif Jama alisema kando na mipango hiyo ya[Read More…]
Na Samuel Kosegi Akina mama kutoka jamii za wafugaji kaunti ya Samburu wametakiwa kujihusisha na kilimo cha ufugaji wa nyuki ili kufanikisha biashara ya asali kama njia moja ya kujipatia mapato. Haya yalijiri katika maonyesho ya mashirika yasiyokuwa ya serikali ya kuwahamasisha wafugaji kujihusisha na biashara mbali mbali. Wadau wa[Read More…]
Na Samuel Kosgei Wataalamu wa afya wametoa onyo kwamba maradhi yasiyoambukiza (NCD) yanazidi kuwa tishio na kuwa sababu ya pili inayoongoza kwa vifo nchini. Mkutano uliowakutanisha wataalamu wa afya kutoka Kaunti ya Siaya kujadili athari za maradhi yasiyoambukiza katika kaunti hiyo, ulieleza kuwa asilimia 50 ya wagonjwa katika vituo vya[Read More…]
Na Samuel Kosgei WAWAKILISHI wadi kaunti ya Marsabit walijiunga na wenzao kote nchini kugoma kwa kususia majukumu yao kama MCAs baada ya serikali kupuuza malalamishi yao kadhaa ikiwemo nyongeza ya mishahara na kunyimwa hazina ya wadi. Kiongozi wa wengi katika bunge la Marsabit Bernard Leakono akizungumza na Shajara ya Jangwani[Read More…]