Upungufu wa maafisa wa kuhamsisha umaa kuhusu mabadiliko ya tabia nchi wachangia kudorora kwa kilimo Marsabit…
January 17, 2025
Na Isaac Waihenya Mgawanyiko kati ya wanachama wa kundi la Saku Forum for Disabled wanaomiliki duka la maji lililopo karibu na shule ya msingi ya St Theresa hapa mjini Marsabit umezidi baada ya kundi hilo kumuondoa Waqo Kumbi kama wawakilishi wa kundi hilo kwenye kamati ya idara ya maji jimboni[Read More…]
Na Samuel Kosgei Idara ya polisi mjini Marsabit imesema kuwa imeweka mikakati mwafaka ya kukomesha uhalifu na wizi ambao umeonekana kuongezeka mjini Marsabit siku za hivi karibuni. Afisa mkuu wa kituo cha polisi cha Marsabit Edward Mabonga ameambia shajara kuwa tayari polisi wana habari kuhusu malalamishi hayo ya umma na[Read More…]
Na Isaac Waihenya Rais Wiliam Ruto ameelezea kujitolea kwa serekali ya Kenya Kwanza kuimarisha maisha ya mwananchi wa chini. Rais Ruto aliyasema hayo katika ukumbi wa KICC jijini Nairobi wakati wa uzinduzi wa mpango wa kuwapa uwezo wahudumu wa bodaboda kote nchini. Mpango huo pia unawapa wanabodaboda mbinu bora[Read More…]
Na Samuel Kosgei Naibu Spika wa Bunge la Kitaifa Gladys Shollei amemlaumu Katibu Mkuu wa UDA Cleophas Malala kuhusu ghasia za hivi karibuni zilizotokea wakati wa mkutano wa wajumbe wa UDA. Shollei alisema katika miaka iliyopita, hakukuwa na mkutano wowote wa UDA uliokuwa wa vurugu. Jumamosi, Malala alilazimika kumaliza mkutano[Read More…]
Na Adano Sharamo Serikali imetangaza Jumatano wiki hii kuwa sikukuu ya kuadhimisha Eid-ul adha. Waziri wa usalama wa ndani ya nchi Prof. Kithure Kindiki ametoa tangazo hilo kupitia notisi ya gazeti la serikali. Eid-Ul-Adha hutumika kuashiria kilele cha hijja ya kila mwaka kwa mahujaji wanaoenda Mecca, mji mtakatifu wa waislamu.
Na James Wanyonyi Mwanaume mmoja wa umri wa makamao amefikishwa leo hii katika mahakama ya Marsabit kwa kosa la kumnajisi msichana wa umri wa miaka 16. Badake Yattani alishtakiwa kuwa mnamo tarehe 21 mwezi wa Januari mwaka huu pamoja na wenzake ambao hawakuwa mahakamani wanadaiwa kutekeleza kosa hilo lokesheni ya[Read More…]
Na Adano Sharamo Vijana hapa Marsabit wametolewa wito kuwa mabalozi wa amani na kuhubiri amani baina ya jamii mbalimbali ili kufikisha kikomo mizozo ya kikabila ambayo hushuhudiwa mara kwa mara katika kaunti ya Marsabit. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa hazina ya maendeleo ya maeneo bunge CDF katika eneo bunge la[Read More…]
Na Samuel Kosgei Askofu wa kanisa katoliki jimbo la Marsabit Peter Kihara amepiga marufuku mikutano yote ya kisiasa kufanyika katika uwanja na ukumbi wa kanisa Katoliki mjini Marsabit. Akizungumza alipoongoza misa ya sherehe ya Maria Consolata katika kathidrali ya Marsabit, Askofu Kihara alisema kuwa wema na ukarimu ambao umefanyiwa[Read More…]
Na Isaac Waihenya Viongozi wa Bunge la Vijana katika eneo Bunge la Saku maarufu kama Saku Youth Assembly wamekula kiapo cha kuanza kazi rasmi , zoezi ambalo liliandaliwa katika mkahawa wa Jirime hapa mjini Marsabit. Akizungumza baada ya zoezi hilo mratibu wa mipango katika shirika la Mabadiliko endelevu (IFPC) Hassan[Read More…]
Na Samuel Kosgei Polisi walisema kuwa matatu hiyo iliyokuwa na abiria 14 ilikuwa ikielekea eneo la Takaba kutoka mji wa Mandera wakati ilipokanyanga bomu hilo kati ya Wargadud na Elele. Inatajwa kuwa magaidi walikuwa wakilenga abiria ambaye siye mzaliwa wa eneo hilo ambaye aliyekuwa ndani ya gari hilo lakini alinusurika[Read More…]