TUNAITISHISHWA HONGO ILI TUHUDHURIE TRAININGS – CHPS WA MARSABIT WALALAMIKA.
November 15, 2024
Na Isaac Waihenya Kampuni ya maji katika kaunti ya Marsabit MARWASCO imewataka wakaazi wa mji wa Marsabit kuwa na subira inapoendeleza zoezi la kurekebisha mifereji ya maji iliyoharibiwa wakati wa ujenzi wa barabara katika maeneo mbalimbali hapa mjini. Akizungumza wakati wa mkao na wateja wa MARWASCO uliolenga kusikiliza lalama za[Read More…]
Na Isaac Waihenya Wito umezidi kutolewa kwa wakaazi mjini Marsabit kujitokeza kutoa damu ili kusaidia walionamahitaji ya damu hapa jimboni Marsabit. Kwa mujibu wa afisa kwenye idara ya kutoa damu katika hospitali ya rufaa ya Marsabit Daniel Ngacha ni kuwa utoaji damu una manufaa mengi kwa mwili wa binadamu na[Read More…]
Na Samuel Kosgei WAZIRI wa Ardhi na Ukuaji wa Miji kaunti ya Marsabit Amina Challa Abdi ametoa onyo kwa wanyakuzi wa ardhi ya umma kuwa chuma chao ki motoni kwani wizara yake inaweka mikakati mwafaka ya kuhakikisha kuwa ardhi zote zilizo mikononi mwa wanyakuzi zinarejeshwa kwa serikali ya jimbo. Akizungumza na kituo[Read More…]
Na Silvio Nang’ori Maonyesho ya kwanza ya biashara kaunti ya Marsabit yamefunguliwa rasmi hapa mjini Marsabit. Wafanyibiashara mbalimbali na mashirika ya serikali na yale yasiyo ya kiserikali walijumuika katika uwanja wa Marsabit kuonyesha bidhaa na huduma zao kwa umma. Wakizungumza na idhaa hii baadhi ya washiriki walielezea matumaini kwamba maonyesho[Read More…]
Na Adano Sharamo Huenda wakenya wanakula vyakula vyenye sumu. Ripoti ambayo imetolewa na shirika la Heinrich Boll Foundation inaonyesha kwamba nusu ya dawa zinazotumika na wakenya kunyunyizia mimea yao imepigwa marufuku kwenye muungano wa mataifa ya Uropa-EU kutokana na kiwango kikubwa cha kemikali. Kwa mujibu wa ripoti hiyo wakenya wanakula[Read More…]
Na Samuel Kosgei BUNGE la kaunti ya Marsabit imemhoji Wario Boru ambaye alipendekezwa na gavana Mohamud Ali kuwa mwenyekiti wa Manispaa ya Marsabit baada ya nafasi hiyo kuwa wazi kwa muda sasa. Iwapo kamati hiyo ya bunge itamwidhinisha basi Wario atatwaa nafasi hiyo iliyokuwa ikishikiliwa Roba Sereka ambaye alitoweka mapema[Read More…]
Na Adano Sharamo Chama cha wanasheria nchini-LSK kimesisitiza kwamba sheria ya fedha 2023 ilikosa kuafikia vigezo vinavyotakikana kabla ya kuanza kutekelezwa. LSK kupitia rais wa chama hicho Eric Theuri kiliambia mahakama kuu kwamba kina wasiwasi kwamba kuna baadhi ya vipengele kwenye sheria ambavyo vina utata ikisitiza haja ya mahakama kuvifutilia[Read More…]
Na Isaac Waihenya Wakaazi wa kijiji cha El-Ghadhe eneo bunge la NorthHorr wamewataka viongozi eneo hilo kuingilia kati na kuwasaidia kusafirisha chakula cha msaada ambacho wanasema kimekwama katika eneo la Maikona. Wakizungumza na Shajara ya Radio Jangwani kwa njia ya simu wakaazi hao walisema kuwa wamefahamishwa na DCC wa Maikona[Read More…]
Na Silvio Nangori Kaunti ya Marsabit inatazamiwa kuandaa maonyesho yake ya kwanza kabisa ya biashara kuanzia wiki hi Alhamisi katika uwanja wa Marsabit. Hafla hiyo ya siku tatu itafunguliwa rasmi na Gavana Mohamud Ali mnamo Alhamisi, Septemba 14 na kufungwa na naibu wake Solomon Gubo Jumamosi, Septemba 16. Angalau waonyeshaji[Read More…]
Na Samuel Kosgei Washukiwa watatu wamekamatwa katika wadi ya Korr eneo bunge la Laisamis kaunti ya Marsabit baada ya kupatikana na misokoto 600 ya bangi na kilo nyingine mbili katika mkoba. Akizungumza na shajara ya Radio Jangwani chifu wa Lokesheni ya Korr Jeremiah Ntimo alisema kuwa kukamatwa kwa washukiwa hao[Read More…]