Idara ya Watoto Marsabit yawarai wazazi kuwarejesha wanao shuleni,muhula wa kwanza wa 2025….
January 8, 2025
The prime suspect in the gruesome murder of 25-year-old world 5,000m record holder Agnes Tirop, has been arrested. Ibrahim Rotich, who was in a relationship with the athlete was arrested on Thursday night in Changamwe, Mombasa county, as he tried to flee to a neighboring country to evade justice.[Read More…]
By Waihenya Isaac, Oparasheni ya kuhakikisha kuwa wanafunzi wote waliomaliza darasa la 8 wanajiunga na shule za upili imeingia siku yake ya tatu hii leo. Operesheni hiyo iliyoanzishwa siku ya jumatatu na waziri wa elimu Profesa George Magoha analenga kuhakikisha asilimia mia ya wanafunzi wanaojiunga na shule za sekondari. Hii[Read More…]
By Waihenya Isaac, Waziri wa usalama Daktari fred Matiangi ameleza kuwa serekali imeweka mikakati ya kuhakikisha usalama wakati wa uchaguzi mkuu ujao na pia hali shwari ya kuipokeza mammlaka serekali mpya. Akizungumza na waandishi wa habari, waziri Matiangi ameleza kuwa asasi za usalamua ziki imara kuhakikisha ya kwamba uslama umeimarishw[Read More…]
Ni afueni sasa kwa wakaazi wa kaunti ya Marsabit waliokuwa wakikosa dawa katika hospitali za umma baada ya dawa kununuliwa na kusambazwa katika hospitali zote za umma wiki mbili zilizopita. Akizungumza na kituo hiki ofisini mwake waziri wa huduma za afya katika kaunti ya Marsabit Dr. Jama Wolde ameomba wakaazi[Read More…]
By PSCU President Uhuru Kenyatta on Tuesday night commissioned five new hospitals in Nairobi County and directed them to offer 24 hour services to residents. The new health facilities are part of 24 such hospitals being constructed by Nairobi Metropolitan Service (NMS) as part of a broad Government plan to[Read More…]
By Waihenya Isaac, Michuano ya kuwania kombe la EURO mwaka wa 2020 inatarajiwa kuendelea hapo kesho baada ya mapumziko ya siku mbili. Wales iliyomaliza ya pili katika kundi A nyuma ya Italia, itafungua awamu ya raundi ya 16 bora itakapokabiliana na Denmark iliyomaliza ya pili katika kundi B. Mechi hiyo[Read More…]
By Waihenya Isaac, Wingu la simanzi limetanda katika mji wa Wajir baada ya mvulana mwenye umri wa miaka kumi na saba kuuwawa katika hali tatanishi. Mwili huyo wa mvulana kwa jina Abei Bishar ulipatikana katika eneo la Stage Driftu usiku huku ukiwa na jereha la kisu shingoni na kuvuja damu.[Read More…]
By Waihenya Isaac, Wizara ya afya katika kaunti ya Garissa inatarajia kuwapa chanjo watoto 165,000 walio kati ya miezi tisa dhidi ya ugonjwa wa ukambi na Rubella. Kwenye mkutanao uliowaleta pamoja washikadau kwenye sekta ya Afya katika kaunti hiyo mkurugenzi wa Afya ya magonjwa ya kusambaa kaunti ya Garissa Ibrahim[Read More…]
By Machuki Denson, MAHAKAMA imeidhinisha uteuzi na kuapishwa kwa Ann Kananu kama naibu gavana wa kaunti ya Nairobi. Jopo la majaji watatu jioni hii wameamuru kwamba uamuzi wa aliyekuwa gavana wa Nairobi Mike Sonko kubatilisha uteuzi wa Kananu ulikuwa na nia ya kuhujumu utendakazi wa kaunti hiyo ya Nairobi. Majaji[Read More…]
NA MACHUKI DENNSON MAHAKAMA imeidhinisha uteuzi na kuapishwa kwa Ann Kananu kama naibu gavana wa kaunti ya Nairobi. Jopo la majaji watatu jioni hii wameamuru kwamba uamuzi wa aliyekuwa gavana wa Nairobi Mike Sonko kubatilisha uteuzi wa Kananu ulikuwa na nia ya kuhujumu utendakazi wa kaunti hiyo ya Nairobi. Majaji[Read More…]