Idara ya Watoto Marsabit yawarai wazazi kuwarejesha wanao shuleni,muhula wa kwanza wa 2025….
January 8, 2025
By Radio Jangwani The United States International University-Africa (USIU-Africa) has commenced an international executive search seeking to retain a substantive Vice-Chancellor to lead the premier higher education institution. The process will be spearheaded by a United Kingdom-based firm, Oxford HR, a specialist executive search and organizational effectiveness firm with[Read More…]
Na Isaac Waihenya Viongozi wa kisiasa katika kaunti ya Marsabit wanafaa kuwajibikia swala la usalama kikamilifu na kuhubiri Amani katika mikutano yao. Hayo ni kwa mujibu wa muaniaji wa kiti cha ubunge katika eneo mbunge la Saku mwaka wa 2022 Abdub Barrille. Akizungumza na waandishi wa habari, Bariille amesema kuwa[Read More…]
Na Samuel Kosgey Taharuki inazidi kushuhudiwa mjini Marsabit na viunga vyake kufuatia kuuawa kwa mtu mmoja siku ya Jumatatu jioni. Biashara mjini zimeathirika pakubwa kutokana na kulazimika kuungwa mapema na wenyejio kutoroka mjini kwa sababu ya kuwa na hofu. Kwa sasa mtu mmoja anauguza majeraha baada ya kupigwa risasi kwenye[Read More…]
By Machuki Dennson The Kenya Medical Supplies Authority KEMSA Board has reiterated that the Authority is undertaking normal operations guided by a Business Continuity Plan (BCP) which was formulated and executed before the release of non-core staff home. This is despite the previous communication that the National Youth[Read More…]
By Machuki Dennson Equity bank Kenya has been ranked position 39 globally on return on assets, position 71 on return on capital, and position 149 on soundness (Capital Assets to Assets ratio), in the Top 1,000 World Banks 2021 by The Banker magazine. This evaluation is usually derived[Read More…]
By Macuki Dennson The Independent Electoral and Boundaries Commission IEBC has said that it missed its target by 4,578,290 voters. This is after the IEBC only registered 1,421, 710 Kenyans as new voters in the mass voter registration that ended 2nd of November 2021. 359,834 Kenyans transferred their voting centres[Read More…]
By Jangwani Fm Team The Catholic Diocese of Marsabit registwered trustees has emerged the top tax paying entity in the entire Northern region. This was declared by the Kenya Revenue Authority (KRA) on Friday during the National taxpayers’ day where all faithful tax payers were feted. The ceremony was graced[Read More…]
Na Wahenya Isaac, Tume ya uiano na Utengamano nchini NCIC itaendelea kuwaweka wanasiasa wanaoeneza semi za chuki katika orodha ya Aibu marufu kama “List of Shame”. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa tume hiyo Samuel Kobia ni kuwa idadi kubwa ya wanasiasa hawapendi kuwekwa kwenye orodha hiyo kwani huenda ikatia doa[Read More…]
Picha:Hisani Na Samuel Kosgei, Mwakilishi wadi wa Korr/Ngurnit Daud Tomasot amedai kuwa ahadi ya gavana wa Marsabit kulipia baadhi ya watu maskini bima ya afya kupitia bima ya NHIF huenda isitimie kutokana na deni la Zaidi ya shilingi milioni 36 ambalo serikali ya kaunti inadaiwa na hazina ya kitaifa afya[Read More…]
Rais Joe Biden ameahidi Kenya kwamba Marekani itatoa msaada wa mara moja wa dozi zaidi ya milioni 17 za chanjo ya Johnson & Johnson kwa Umoja wa Afrika. Biden alitangaza hayo wakati wa mkutano na rais Uhuru Kenyatta kwenye afisi yake ya Ikulu mjini Washington DC, ambao pia ulijadili[Read More…]