Idara ya Watoto Marsabit yawarai wazazi kuwarejesha wanao shuleni,muhula wa kwanza wa 2025….
January 8, 2025
Na Grace Gumato, Wizara ya Afya inatazamiwa kuzindua kampeni ya siku 100 ili kuongeza utoaji wa chanjo kote nchini. Msukumo wa Mpango wa Kitaifa wa Chanjo wa Wizara ya afya (NVIP) kwa msaada kutoka kwa washirika unalenga watoto wanaostahiki, wanawake wa umri wa kuzaa na wajawazito ambao walikosa huduma muhimu[Read More…]
Na Waihenya Isaac, Chama cha ODM kitafanya mchujo wa haki na usawa. Hayo ni kwa mujibu wa katibu mkuu wa chama hicho Edwin Sifuna. Akizungumza na vyombo vya habari baada ya mkutano na viongozi wa chama hicho,Sifuna ametaja kuwa chama hicho kitanzingatia usawa chamani bila mapendeleo. Aidha Sifuna amekariri kuwa[Read More…]
Na Silvio Nangori Wanyamapori wameripotiwa kuathirika Zaidi kufuatia Kiangazi kinachoendelea kushuhudiwa katika maeneo ya kaskazini mwa nchi na kulemaza shughuli ya Shirika la kulinda wanyamapori. Ukosefu wa mvua katika maeneo mengi kama vile kaunti ya Marsabit, Isiolo Wajir na Garissa, kumeripotiwa kuaga dunia kwa wanyama pori. Hali hiyo inadaiwa[Read More…]
Na Emmanuel Amalo Mwalimu mkuu wa chuo cha kati cha mafunzo ya ualimu Maria consolata katika jimbo Katoliki la isiolo Lmoti Emmanuel Ekisa amekamatwa kwa kukosa kulipia wanafunzi 30 usajili wa mitihani ya ECDE ambao ingeanza siku ya jumanne. Inaaminika kuwa Mwalimu Mkuu huyo amepokea pesa shilingi 300,000 katika usajili wa wanafunzi[Read More…]
Na Samuel Kosgei Wakaazi wa Lokesheni ya Hurii Hills eneobunge la North Horr wanakadiria hasara kubwa baada ya mifugo Zaidi ya 500 kufa kutokana na upepo mkali uliondamana na mvua kiasi siku ya Jumamosi. Kulingana na naibu chifu wa lokesheni ya Hurri Hills Roba Abudo ni kuwa wafugaji wengi[Read More…]
Na Samuel Kosgei Kamanda wa polisi kaunti ya Marsabit Robinson Mboloi amepiga marufuku uendeshaji wa bodaboda katikati ya mji wa Marsabit na viunga vyake kutokana na ongezeko la visa vya mauaji kutumia pikipiki. Kisa cha hivi punde cha mauaji ni kisa ambapo watu wawili wameuliwa na watu waliokuwa kwenye pikipiki[Read More…]
By Jangwani Fm Team The Director of Criminal Investigations George Kinoti has been elected to the INTERPOL executive committee, during the 89th session of the INTERPOL General Assembly, in Istanbul, Turkey. The DCI chief who was voted in overwhelmingly will represent Africa for 3 years, at the key security[Read More…]
By Radio Jangwani The Kenya Revenue Authority (KRA) Customs Officers on Tuesday night intercepted approximately 4.88 kilogram of gold and jewellery that was being smuggled through the Jomo Kenyatta International Airport (JKIA). This was after Customs Officers stationed at JKIA identified a group of approximately 30 female Kenyan travellers who[Read More…]
By Machuki Dennson The Kenya Pastoralist Parliamentary Group has today come out to demand to know how the drought emergency fund was used by the government. Addressing the media today, the Parliamentarians led by their patron Aden Duale have expressed their fears that the deteriorating drought situation has led to[Read More…]
By Machuki Dennson A couple has been arrested and will be charged with obtaining money by false pretenses in Nairobi. This was after Serious crimes and Crime Research (CRIB detectives cracked the fake diamonds ring leading them to recovery of Shs 19M in fake US dollars. In an[Read More…]