Local Bulletins

Serekali imeweka mikakati ya kuhakikisha usalama wakati wa uchaguzi mkuu ujao. – Waziri Matiangi.

Waziri Wa Usalama Wa Ndani Fred Matiangi.
Picha; Hisani

By Waihenya Isaac,

Waziri wa usalama Daktari fred Matiangi ameleza kuwa serekali imeweka mikakati ya kuhakikisha usalama wakati wa uchaguzi mkuu ujao na pia hali shwari ya kuipokeza mammlaka serekali mpya.

Akizungumza na waandishi wa habari, waziri Matiangi ameleza kuwa asasi za usalamua ziki imara kuhakikisha ya kwamba uslama umeimarishw ahususan kipindi hichi taifa likaribia uchaguzi mkuu.

Ametaja kuwa serekali itawachukulia hatua kali za kisheria viongozi watakaopatikana wakichochea jamii.

Vilevile Matiangi ameonya kuwa Amani huanza na mtu binafsi huku akiwataka wanachi kuripoti visa vyovyote vya uchochezi na Ambavyo vinaweza vuruga Amani hapa nchini.

Leave a Comment

Your email address will not be published.

Subscribe to eNewsletter