MOHAMED NANE AMEWEKA WAZI SABABU YA KUSUSIA UCHANGUZI WA LEO.
November 14, 2024
Na Adano Sharamo Vijana hapa Marsabit wametolewa wito kuwa mabalozi wa amani na kuhubiri amani baina ya jamii mbalimbali ili kufikisha kikomo mizozo ya kikabila ambayo hushuhudiwa mara kwa mara katika kaunti ya Marsabit. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa hazina ya maendeleo ya maeneo bunge CDF katika eneo bunge la[Read More…]
Na Isaac Waihenya Viongozi wa Bunge la Vijana katika eneo Bunge la Saku maarufu kama Saku Youth Assembly wamekula kiapo cha kuanza kazi rasmi , zoezi ambalo liliandaliwa katika mkahawa wa Jirime hapa mjini Marsabit. Akizungumza baada ya zoezi hilo mratibu wa mipango katika shirika la Mabadiliko endelevu (IFPC) Hassan[Read More…]
Na Samuel Kosgei Polisi walisema kuwa matatu hiyo iliyokuwa na abiria 14 ilikuwa ikielekea eneo la Takaba kutoka mji wa Mandera wakati ilipokanyanga bomu hilo kati ya Wargadud na Elele. Inatajwa kuwa magaidi walikuwa wakilenga abiria ambaye siye mzaliwa wa eneo hilo ambaye aliyekuwa ndani ya gari hilo lakini alinusurika[Read More…]
Na Adano Sharamo Bunge limepitisha kipengee tata cha mswada wa fedha kinachopendekeza ushuru wa asilimia 16 kwenye bidhaa za mafuta ya petroli kutokama asilimia 8. Kwenye kikao jumla ya wabunge 184 wamepiga kura kuunga mkono kupitishwa kwa kipengee hicho huku 88 wakipinga. Jumla ya wabunge 272 wa walihudhuria kikao hicho[Read More…]
Spotify has announced a new Original Podcast with Trevor Noah. The weekly podcast will merge Trevor’s humor and razor-sharp wit with his global perspective to deliver a unique take on the hottest and most captivating topics of the moment. “It’s really exciting to be joining Spotify on a fun new adventure where[Read More…]
Na Adano Sharamo Rais William Ruto amesisitiza kwamba mswada wa kifedha wa mwaka huu unalenga kufanikisha mipango yenye manufaa kwa wakenya ukiwamo ujenzi wa makazi bora kwa gharama nafuu. Akizungumza wakati wa mpango wa kusambaza chakula shuleni Ruto amesema inasikitisha kuwaona wabunge wanaoishi kwenye mitaa ya kifahari wakiupinga mswada huo.[Read More…]
Na Samuel Kosgei Wakaazi wa Marsabit wametolewa wito wa kujitokeza kufanyiwa uchunguzi na vipimo vya macho mara kwa mara kabla ya kupoteza uwezo wa kuona. Mhudumu wa afya kitengo cha macho katika hospitali ya rufaa ya Marsabit Galgalo Arero akizungumza nasi alisema kuwa kwa muda wengi wa wakaazi wa Marsabit[Read More…]
Na Samuel Kosgei Mwakilishi wa kike kaunti ya Marsabit Naomi Jilo Waqo amekariri haja ya wananchi wa Marsabit kuzidi kuishi kwa amani na kuzidi kuvumiliana kwa minajili ya maendeleo ya jimbo. Akizungumza na kituo hiki kwenye kipindi cha Bunge Letu Asubuhi, Naomi alikumbusha umuhimu wa kuishi kwa uwiano kati ya jamii[Read More…]
Bebe Rexha was winding up her show in New York on Sunday night (18.06.23) when a mobile phone was thrown towards the stage and struck her in the head. She has reassured her fans that she is doing okay now after being rushed to the hospital. The ordeal was recorded[Read More…]
Na John Bosco Nateleng Visa vya mimba za mapema kwa watoto wasichana vinazidi kuripotiwa katika kaunti ya Marsabit. Haya ni kwa mujibu wa Mtetezi wa haki za kibinadamu jimboni Nuria Gollo. Akizungumza na wanahabari hapa mjini, Nuria alitaja kwamba eneo bunge la Saku ndio imeripoti visa vingi vya mimba[Read More…]