Featured Stories / News

MWANAUME MWENYE UMRI WA MAKAMU AMESHTAKIWA KWA KOSA LA KUMNAJISI MSICHANA MWENYE UMRI WA MIAKA 15, KATIKA MAHAKAMA YA MARSABIT HII LEO.

Na Grace Gumato Mwanaume mwenye umri wa makamu  ameshtakiwa kwa kosa la kumnajisi msichana mwenye umri wa miaka 15, katika mahakama ya Marsabit hii leo. Mshukiwa, Augustine Lekamurte amedaiwa kuwa mnamo tarehe 23 Juni mwaka huu katika mtaa wa Loiyangalani kaunti ya Marsabit alimnajisi mtoto wa miaka 15. Mshukiwa huyo[Read More…]

Waandamanaji sita wapigwa risasi katika kwenye maandamano ya kupinga Mswada wa Fedha Mjini Isiolo

NA SAMAUEL KOSGEI Maandamano ya kupinga Mswada wa Sheria ya Fedha katika Kaunti ya Isiolo yaligeuka kuwa vurugu siku ya Jumanne baada ya watu sita kupigwa risasi huku polisi wakiwahusisha waandamanaji katika mapigano. Mmoja wa wahasiriwa alipigwa risasi mguuni huku mwingine akipigwa risasi mkononi. Wote wawili walikimbizwa katika vituo vya[Read More…]

MAJAMBAZI WAWILI WA WIZI WA MIFUGO WAFARIKI DUNIA KUTOKANA NA MAJERAHA YA RISASI BAADA YA KUKABILIANA NA MAAFISA WA POLISI MARSABIT..

Na Caroline Waforo Majambazi wawili wa wizi wa mifugo wamethibitishwa kufariki dunia kutokana na majeraha ya risasi  waliopata wakati wa makabiliano na maafisa wa polisi katika visa viwili tofauti jimboni Marsabit. Ni vifo ambavyo vimethibitishwa na afisa mkuu wa idara ya upelelelezi na jinai jimboni Marsabit Luka Tumbo. Katika kisa[Read More…]

NAIBU GAVANA WA MARSABIT AITAKA JAMII ZA MARSABIT KUACHANA NA TAMADUNI YA WIZI WA MIFUGO AKISEMA INAREJESHA HOFU.

Na Samuel Kosgei  Naibu gavana wa Marsabit Solomon Gubo ameitaka jamii za Marsabit kuachana na tabia na tamaduni zilizopitwa na wakati ikiwemo wizi wa mifugo. Akizungumza kwenye kikao kilicholeta pamoja maafisa wa idara ya Utalii na Utamaduni na Taasi ya kitaifa ya makavazi, Gubo alisema bado kuna tamaduni nzuri zilizosalia[Read More…]

Tamaduni na mila za jamii za Marsabit sasa kuhifadhiwa kidijitali kwa ajili ya kizazi kijacho.

. Na Samuel Kosgei   Serikali ya kaunti ya Marsabit ikishirikiana na Taasisi ya makavazi za kitaifa National Museum Of Kenya (NMK) imeweka makubaliano ya kushirikiana kuweka utamaduni na mila za jamii 10 asilia za Marsabit katika hifadhi ya kidigitali kinyume ilivyo Kwa Sasa ambapo tamaduni hizo hazijahifadhiwa kidigitali. Waziri wa Utalii[Read More…]

Subscribe to eNewsletter