Featured Stories / News

IDARA YA MIFUGO JIMBONI MARSABIT IMETHIBITISHA KUZUKA KWA UGONJWA WA MIFUGO WA PESTE DES PETITS RUMINANTS PPR KATIKA ENEO BUNGE LA NORTH HORR, MARSABIT.

NA CAROLINE WAFORO Kulingana na afisa wa kufuatilia magonjwa ya mifugo jimboni Marsabit Dkt Bernard Chege ambaye amezungumza na shajara ni kuwa PPR ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vinavyoathiri haswa mbuzi na kondoo na umethibitishwa katika eneo pana la Chalbi ikiwemo Elbeso, Kalacha, Maikona, kati ya mengine. Dr Chege anasema[Read More…]

Huduma za matibabu hospitali kuu ya Marsabit zalemazwa kufutia mgomo wa wahudumu wa afya.

NA GRACE GUMATO Huduma za hospitali ya rufaa ya Marsabit zimelemezwa  hii leo kutokana na kuandamana kwa wafanyikazi wa hospitali hiyo baaada ya kulalamika kuwa hawajalipwa mishahara ya mwezi mitatu. Aidha wanafanyikazi hao ikiwemo madaktari na wauguzi wa hospitali hawajalipwa kwa miezi mitatu huku wafanyikazi wasio wa kudumu wakidai hawajalipwa kwa[Read More…]

TOHARA YA WASICHANA INGALI JUU MARSABIT KWA ASILIMIA 83 – BODI YA KITAIFA YA KUDHIBITI UKEKETAJI.

 Na Samuel Kosgei Kuna haja ya kuendeleza hamasisho dhidi ya tabia ya kukeketea wasichana jimboni Marsabit na sehemu zote zinazofanya zoezi hilo dhalimu. Hayo ni kulingana na bodi ya kitaifa ya kupinga zoezi la ukeketaji nchini Anti FGM board. Mkurugenzi mkuu wa bodi hiyo kukabiliana na FGM nchini Bernadette Loloju amesema[Read More…]

MWANAUME MWENYE UMRI WA MAKAMU AMESHTAKIWA KWA KOSA LA KUMNAJISI MSICHANA MWENYE UMRI WA MIAKA 15, KATIKA MAHAKAMA YA MARSABIT HII LEO.

Na Grace Gumato Mwanaume mwenye umri wa makamu  ameshtakiwa kwa kosa la kumnajisi msichana mwenye umri wa miaka 15, katika mahakama ya Marsabit hii leo. Mshukiwa, Augustine Lekamurte amedaiwa kuwa mnamo tarehe 23 Juni mwaka huu katika mtaa wa Loiyangalani kaunti ya Marsabit alimnajisi mtoto wa miaka 15. Mshukiwa huyo[Read More…]

Waandamanaji sita wapigwa risasi katika kwenye maandamano ya kupinga Mswada wa Fedha Mjini Isiolo

NA SAMAUEL KOSGEI Maandamano ya kupinga Mswada wa Sheria ya Fedha katika Kaunti ya Isiolo yaligeuka kuwa vurugu siku ya Jumanne baada ya watu sita kupigwa risasi huku polisi wakiwahusisha waandamanaji katika mapigano. Mmoja wa wahasiriwa alipigwa risasi mguuni huku mwingine akipigwa risasi mkononi. Wote wawili walikimbizwa katika vituo vya[Read More…]

Subscribe to eNewsletter