Idadi chache ya wanafunzi waripoti shuleni wiki ya kwanza ya muhula huu…
January 10, 2025
Na Jillo Dida Jillo Ngamia katika maeneo kadha jimboni Marsabit wameadhirika na ugonjwa wa mafua na kuonyesha dalili nyingine ambazo wakaazi wameeleza sintomfahamu kuzihusu. Visa vya ngamia kufariki katika jimbo la marsabit viliripotiwa tangu mwezi Januari mwaka huu baada ya mlipuko wa virusi vya mers-cov kwa kiengereza middle east respiratory[Read More…]
Na Adho Isacko Kamishna wa kaunti ya Marsabit Evans Achoki amesema kuwa Uchunguzi umeanzishwa ya kuwakamata wahalifu waliowaua watu wawili siku ya jumatano 27-5-2020 katika eneo la Gof Choba. Achoki amelaani kitendo hicho akidai kuwa kuna malisho ya kutosha kwa sasa na hivyo hakuna haja ya wafugaji kupigania malisho kwa[Read More…]
BY MACHUKI DENNSON Wenyeji wa eneo la Lomelo kaunti ndogo ya Turkana mashariki wameamua kuwinda na kula nyani baada ya kuzidiwa na njaa kwa muda sasa. Wakaazi hao wanasema wamekosa namna na hivyo kuwabidi kuanza kula wanyamamwitu kama nyani. Wanasema kwamba kwa sasa hawana mifugo kwao baada ya kuvamiwa na[Read More…]
Na Jillo Dida Shehena ya bangi iliyokamatwa katika barabara kuu ya Moyale hadi Isiolo na katika kaunti ya Marsabit imeteketezwa mjini Marsabit. Hakimu mkaazi wa mahakama ya Marsabit Tom Mbayaki Wafula aliongoza zoezi hilo la kuteketeza bangi hiyo yenye dhamana isiojulikana. Kati ya mwaka 2017 na mwaka 2020 takriban kesi[Read More…]
Watu wawili wameaga Dunia kufuatia mapigano mapya kati ya jamii mbili katika Eneo La Gof Choba kaunti hii ya Marsabit. Akidhibitisha kisa hicho, OCPD wa Marsabit ya Kati Benjamin Mwanthi amesema hali ya utulivu imerejea kwa sasa huku maafisa wa usalama wametumwa ili kushika doria. Polisi waliarifiwa mida ya saa[Read More…]
Na Jillo Dida Takriban watu 23 katika wadi ya Ileret, Kaunti ya marsabit wamefariki dunia kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupind huku wengine 134 wakilazwa hospitalini. Ugonjwa huo unadaiwa kuzuka mwezi jana na hali imezidi kuwa mbovu zaidi maafa zaidi yakizidi kuripotiwa. Kulingana na wenyeji wa eneo hilo kijiji[Read More…]
Wamiliki wa mahoteli sasa wanahitajika kutuma maombi upya kabla ya kurejelea kazi zao. Hili ni agizo jipya kutoka serikali siku moja tu baada ya kutangaza kwamba wamiliki wa mikahawa mbali mbali wanaweza kurejelea kazi zao. Kaimu mkurugenzi katika afya umma nchini Dkt Francis Kuria amesema kwamba wamiliki wa mahoteli wanahitajika[Read More…]
Na Adho Isacko Watu sita wamewekwa chini ya karantini katika kaunti ndogo ya Moyale. Wanne kati ya sita hao ni madereva wa trela kutoka Addis Ababa huku wengine wawili wakiwa ni kutoka kaunti ya Mombasa eneo la Mtito Andei. Kulingana na waziri wa afya kaunti ya Marsabit Jama Wolde hadi[Read More…]
Aliyekuwa askofu wa jimbo la Meru kati ya mwaka 1976 hadi mwaka 2004, askofu Silas Silvius Njiru ameaga dunia. Marehemu askofu Njiru aliaga dunia usiku wa kuamkia jana Jumanne saa sita usiku nchini Italia. Kifo chake kimetokana na maambukizi ya virusi vya corona mjini Turin Italia alikokuwa akiishi katika nyumba[Read More…]
Na Adano Sharawe Kwa mara ya kwanza waumini wa kiislamu jimboni marsabit hawatahudhuria swala kama kawaida katika misikiti baada ya kufungwa kuzuia maambukizi ya corona. Katika taarifa, mwenyekiti wa baraza la maimamu na wahubiri SUPKEM jimboni Jarso Jllo Fallana amesema baada ya mashauriano baina ya viongozi wa misikiti, wameamua kufunga[Read More…]