Featured Stories / News

11 kati ya waliokamatwa Kargi Marsabit waachiliwa huru, wengine washtakiwa kwa kuvamia polisi

By Samwel Kosgey Washukiwa 11 kati ya 22 wa uvamizi wa kituo cha polisi cha Kargi ijumaa wiki jana wameachiliwa huru. Afisa wa polisi anayeongoza uchunguzi huo Albert Juma ameiambia mahakama kuwa amewaondolea mashtaka Washukiwa 11 kwa kukosekana ushahidi dhidi yao. Hata polisi wamewafungulia mashtaka washukiwa watatu kwa kumiliki silaha[Read More…]

Subscribe to eNewsletter