Jimbo katoliki la Marsabit laadhimisha miaka 60 ya kueneza Injili.
November 23, 2024
By Waihenya Isaac. Ibada Ya Wafu Ya Mamake Kinara Wa ANC Musalia Mudavadi, Hannah Atsianzale Mudavadi Inaendela Katika Kanisa La Friends Ngong Jijini Nairobi. Atsianzale Aliaga Dunia Disemba 28, 2020 Alipokuwa Akipokea Matibabu Katika Hospitali Ya Nairobi Akiwa Na Umri Wa Miaka 92. Mama Hannah Atsianzale Atapumzishwa Jumamosi Hii Nyumbani[Read More…]
By Waihenya Isaac. Wizara Ya Elimu Haitawalazimisha Walimu Walio Na Umri Wa Miaka 58 Na Zaidi Kusalia Nyumbani Iwapo Wanahitaji Kurejea Shuleni Kuendeleza Majukumu Yao Ya Kufunza. Kwa Mujibu Wa Katibu Mkuu Mtendaji Wa Tume Ya Huduma Za Walimu Nchini TSC Bi Nancy Macharia Ni Kuwa Walimu Walio Na Umri[Read More…]
By Adano Sharawe Seneta Wa Elgeyo Marakwet Kipchumba Murkomen Sasa Anasema Atapinga Mipango Yoyote Ya Kumuondoa Seneta Irungu Kang’ata Kutoka Kwa Nafasi Yake Ya Kiranja Wa Bunge La Seneti Murkomen Amesema Ikiwa Uongozi Wa Chama Cha Jubilee Utaitisha Kikao Cha Kumuondoa Kang’ata, Watahudhuria Na Kupinga Hatua Hiyo. Amesema Badala Yake[Read More…]
By Jilo Dida. Kasisi Mmoja Katika Eneo La Ndia Kaunti Ya Kirinyaga Anakabiliwa Na Mashataka Ya Kuwanajisi Na Kuwapa Ujauzito Wanawe Wawili Wenye Umri Wa Miaka 14 And 16 Mtawalia. Mshukiwa Huyo Kwa Jina Guchina Mwenye Umri Wa Miaka 51 Atasalia Rumande Hadi Siku Ya Alhamisi Januari 7 Baada Ya[Read More…]
By Adano Sharawe Serikali Kupitia Wizara Ya Elimu Imewaonya Vikali Walimu Wakuu Wanaowarudisha Nyumbani Wanafunzi Kwa Kukosa Kulipa Ada Ya Maendeleo Ya Shule. Akizungumza Alipozuru Shule Mbali Mbali Katika Kaunti Ya Nyeri Waziri Wa Elimu Prof George Magoha Ameonya Kuwa Mwalimu Yeyote Atakayemrudisha Mwanafunzi Nyumbani Kwa Kutolipa Ada Hio Ya[Read More…]
By Waihenya Isaac. Watahiniwa Kutoka Shule Za Kibinafsi Zilizofungwa Kwa Ajili Ya Makali Ya Korona, Hawatakosa Kukalia Mitihani Yao Ya KCSE Na KCPE Mwaka Ujao. Kwa Mujubu Wa Wa Ziri Wa Elimu Profesa George Magoha Ni Kuwa Wizara Ya Elimu Pamoja Na Washikadau Katik Asekta Hiyo Wataandaa Kikao Ili Kutafuna[Read More…]
By Samuel Kosgei Waziri wa afya Mutahi Kagwe ametangaza kuwa taifa hii leo imepoteza watu 11 kutokana na ugonjwa vya Covid-19 ikiwa ndio siku ya kwanza ya mwaka. Idadi hiyo imefikisha walioaga dunia kuwa watu elfu 1,681. Ameongeza kuwa watu wengine 156 wamekutwa na virusi hivyo baada ya vipimo vya[Read More…]
By Isaac Waihenya. Askofu Wa Jimbo Katoliki La Marsabit Askofu Peter Kihara Amewataka Wananchi Wakaunti Hii Kudumisha Amani Ili Kuimarisha Maendeleo Katika Kaunti Hii. Akizungumza Katika Hafla Ya Kufunga Mwaka Iliyoandaliwa Katika Makao Ya Ga vana Wa Jimbo Hili Mohamoud Ali Hapa Mjini Marsabit, Askofu Kihara Amewataka Wananchi Wa Kaunti[Read More…]
By Machuki Denson Wakenya Wengi Wana Matumaini Kwamba Mwaka Wa 2021 Utakuwa Wa Mafanikio Kuliko Wa 2020 Kulingana Na Utafiti Wa Kura Ya Maoni. Utafiti Huo Uliofanywa Na Kampuni Ya Infotrak, Ambao Mtokeo Yake Yalitolewa Leo Unaonyesha Kwamba Asilimia 61 Ya Wakenya Wana Matumaini Makubwa Kwamba 2021 Utakuwa Mwaka Mzuri [Read More…]
By Samuel Kosgei, Tume Huru Ya Uchaguzi Na Mipaka IEBC Hii Leo Inazindua Rasmi Zoezi Zima La Kusanifisha Sahihi Za Mpango Wa BBI Ambazo Ziliwasilishwa Kwao Na Kundi Linalounga Mkono Mchakato Huo. Uzinduzi Wa Zoezi Hilo Linafanyika Katika Ukumbi Wa Bomas Of Kenya Jijini Nairobi Ukiongozwa Na Mwenyekiti Wa Tume[Read More…]