Diocese of Marsabit

Lazima walioiba chakula cha msaada Sololo wakumbane na mkono wa sheria – Asema Seneta Mohamed Chute.

Na Silvio Nangori, Seneta wa kaunti ya Marsabit Muhamud Chute ametoa wito kwa idara ya usalama kuwakamata wanaoshukiwa kuhusika katika wizi wa chakula unaodaiwa kufanyika  katika eneo la sololo eneo bunge la Moyale kaunti ya Marsabit. Akizungumza na idhaa hii moja kwa moja Seneta Chute amesema kwamba ni aibu zaidi[Read More…]

Read More

Waliohusika katika katika kisa cha wizi wa chakula cha msaada katika eneo la Sololo jimboni Marsabit lazima wachukuliwe hatua za kisheria.

Na Isaac Waihenya, Waliohusika katika katika kisa cha wizi wa chakula cha msaada katika eneo la Sololo jimboni Marsabit lazima wachukuliwe hatua za kisheria. Ndio kauli yake naibu kamishina wa kaunti ndogo ya Sololo Robert Nzuki. Akizungunza na vyombo vya habari Nzuki amesema kwamba tayari uchunguzi umeanzishwa kuhusiana na ripoti[Read More…]

Read More

Wanafunzi wote waliofanya mitihani ya kitaifa ya Gredi ya 6 na KCPE mwaka jana katika kaunti ya Marsabit lazima waendelee na elimu.

Na Isaac Waihenya, Serekali itahakikisha kwamba wanafunzi wote waliofanya mitihani ya kitaifa ya Gredi ya 6 na KCPE mwaka jana wanaendelea na elimu yao. Kwa mujibu wa kaimu kaunti kamishina wa Marsabit George Kamweru ni kuwa ni haki ya kila mwanafunzi aliyefanya mtihani wa gerdi ya sita kujiunga na Junior[Read More…]

Read More

Onyo kali kwa wanaopania kuvuruga usalama barabarani haswa katika barabara kuu ya Marsabit – Isiolo.

Na Isaac Waihenya, Onyo kali imetolewa kwa wanaopania kuvuruga usalama barabarani haswa  katika barabara kuu ya Marsabit kuelekea Isiolo kuwa watakabiliwa kisheria. Kaimu kaunti kamishina wa kaunti ya Marsabit George Kamweru ametoa tahadhari hiyo huku akitaja kwamba ni hatia kisheria kufunga barabara ya umaa au kuendeleza shughuli zote za kihuni[Read More…]

Read More

Wazee wa jamii ya Gabbra wamshukuru Gavana Abshiro kwa kuipa jamii hiyo nafasi katika serikali yake.

Na Silvio Nangori, Wazee na wasomi oka jamii ya Gabbra katika  ya Marsabit wamemshukuru Gavana wa kaunti ya Marsabit kwa kuipa jamii hiyo nafasi katika uteuzi wake wa maafisa wakuu katika serikali yake. Wakizungumza na wanahabari kwa njia ya kipekee wamesema kwamba waliochaguliwa na Gavana ni viongozi ambao watasaidia wananchi[Read More…]

Read More

Jumla ya shule 196 za umaa na za kibinafsi katika kaunti ya Marsabit zimetajwa kuwa na uwezo kuwa na shule za upili ngazi ya chini Junior Secondary.

Na Isaac Waihenya, Jumla ya shule 196 za umaa na za kibinafsi katika kaunti ya Marsabit zimetajwa kuwa na uwezo kuwa na shule za upili ngazi ya chini Junior Secondary. Kwa mujibu wa msimamizi wa kiwango cha ubora wa elimu katika kaunti ya Marsabit Mumas Wanyama ni kuwa idadi hiyo[Read More…]

Read More

Jesca Anna Napoya aongoza katika shule ya upili ya Bishop Cavallera Girls kwa kupata gredi ya A- ya alama 74.

  Na Isaac Waihenya Na Samuel Kosgei, Jesca Anna Napoya kutoka shule ya upili ya Bishop Cavallera Girls ndiye aliyeongoza katika shule hiyo kwa kupata alama ya A- ya alama 74. Wanafunzi 50 kati ya 52 wamefanikiwa kupata alama za kujiunga na chuo kikuu. Mwanafunzi mmoja alipata alama ya A, B+1,[Read More…]

Read More

Diba Matacho mwanafunzi aliyekuwa amelazwa katika hospitali ya Rufaa kwa muda wa miaka sita amepata alama ya B-

Na Isaac Waihenya, Diba Matacho mwanafunzi mwenye umri wa miaka 22 ambaye aliyekuwa amelazwa katika hospitali ya Rufaa kwa muda wa miaka sita amepata alama ya B- kwenye matokeo ya mtihani wa kitaifa yaliyotangazwa hii leo. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya kipekee Matacho aliyeufanyia mtihani wake wa kitaifa[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter