Diocese of Marsabit

Mtu Mmoja Auwawa Huku Mwingine Mmoja Akiuuguza Majeraha Ya Risasi Baada Ya Majambazi Kuvamia Eneo La Maji La Halakhe Yaya Hapa Marsabit Na Kuiba Mifugo.

By Jillo Dida, Mtu Mmoja Ameuwawa Huku Mwingine Mmoja Akiuuguza Majeraha Ya Risasi Baada Ya Majambazi Kuvamia Eneo La Maji La Halakhe Yaya Eneo Bunge La Saku Kaunti Hii Ya Marsabit Na Kuiba Mifugo Leo Asubuhi. Akithibitisha Hayo Kamanda Wa Polisi Katika Kaunti Ya Marsabit Samuel Mutunga Amesema Kuwa Anayeuguza[Read More…]

Read More

Wazazi Katika Eneo La Loiyangalani Watakiwa Kuwarejesha Wanao Shuleni Kabla Hatua Kali Za Kisheria Kuchukuliwa Dhidi Yao.

By Samuel Kosgei, Wazazi Wa Wanafunzi Wanaoishi Katika Kaunti Ndogo Ya Loiyangalani Wameombwa Kufanya Hima Kuwarejesha Wanao Shuleni Kabla Hatua Kali Za Kisheria Kuchukuliwa Dhidi Yao. Naibu Kamishna Wa Eneo Hilo Stephen Mavina Akizungumza Na Kituo Hiki Amesema Kuwa Bado Kuna Changamoto Wanayokumbana Nayo Kuhakikisha Kuwa Watoto Wote Wanarudi Shuleni[Read More…]

Read More

Jamii Ya Marsabit Imetakiwa Kusitisha Mila Potovu Ya Ukeketaji Wa Wasichana.

By Adho Isacko Katibu Wa Utawala Katika Wizara Ya  Elimu Mumina Bonaya Ameitaka Jamii Ya Marsabit Kusitisha Mila Potovu Ya Ukeketaji Wa Wasichana. Akizungumza Hii Leo Katika Shule Ya Msingi Ya Al-Hidaya Hapa Mjinini Marsabit Alipozuru Kutathmini Utayarifu Wa Shule  Katika Kaunti Hii, Mumina Amesema Kuwa Wazari Wananaozingatia Mila Mbali[Read More…]

Read More

Mwenyekiti Wa Chama Cha Wazazi Nchini Nicholas Maiyo Awashauri Wazazi Katika Kaunti Ya Marsabit Ambao Hawajawarejesha Watoto Wao Shuleni Kufanya Vile.

By Adho Isacko Na Mark Dida Mwenyekiti Wa Chama Cha Wazazi Humu Nchini Nicholas Maiyo Amewashauri Wazazi Kaunti Ya Marsabit Ambao Hawajawapeleka Watoto Wao Shuleni Kuhakikisha Wanafunzi Wanaripoti Shuleni Jinsi Walivyoagizwa. Maiyo Amepongeza Wale Ambao Wameitikia Wito Wa Serikali Na Kurejesha Wanao Shuleni. Kwa Mujibu Wa Maiyo, Kufikia Leo Ikiwa Ni[Read More…]

Read More

Wanafunzi Wa Shule Ya Msingi Ya Elmollo Iliyo Eneo La Loiyangalani Wahangaika Kufika Shuleni Baada Ya Barabara Kusombwa Na Maji.

By Adho Isacko Kufuatia kuongezeka kwa viwango vya maji katika eneo la Loiyangalani kaunti ya Marsabit mwaka jana shule kadhaa zimeadhirika huku barabara zikikatika na vyoo pamoja na madarasa kuzama. Katika shule ya msingi ya Elmollo iliyo eneo la Loiyangalani wanafunzi sasa wanataabika hata kufika shuleni kwani barabara waliyokuwa wakitumia[Read More…]

Read More

Kamishna Wa Kaunti Ya Marsabit Paul Rotich Amesema Zaidi Ya Asilimia 50 Ya Wanafunzi Katika Shule Mbalimbali Katika Kaunti Ya Marsabit Wamerudi Shuleni.

Picha; Hisani By  Mark Dida. Kamishna Wa Kaunti Ya Marsabit Paul Rotich Amesema Zaidi Ya Asilimia 54 Ya Wanafunzi Katika Shule Mbalimbali Katika Kaunti Ya Marsabit Wamerudi Shuleni. Rotich Ameelezea Kuridhishwa Na Utayari Wa Shughuli Hiyo Kwenye Shule Za Kaunti Hii Na Aslimia Ya Watoto Waliorejea Shuleni Tangu Siku Ya[Read More…]

Read More

Baadhi Ya Walimu Wa Shule Za Umma Kaunti Ya Marsabit Waelezea Kusikitishwa Kwao Na Hali Ya Shule.

By Adano Sharawe, Samwel Kosgei & Adho Isacko Baadhi Ya Walimu Wa Shule Za Umma Kaunti Ya Marsabit Wameeleza Kusikitishwa Kwao Na Hali Ya Shule Wanaozoongoza Ikizingatiwa Kuwa Wanahitajika Kuzingatia Masharati Ya Wizaraya Afya Ilhali Hawajapokezwa Pesa Za Shughuli Hiyo Na Serikali Kama Walivyoahidiwa. Baadhi Ya Changamoto Wanazotaja Kuzipitia Ni[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter