County Updates

County updates, notifications, news from the Marsabit County

LOGLOGO RESCUE CENTER KUFUNGULIWA JANUARI MWAKA UJAO WA 2025.

Kituo cha kuwalinda na kuwahifadhi waadhiriwa wa dhulma za kijinsia katika eneo la Loglogo (Loglogo Rescue Center) kaunti ya Marsabit kitafunguliwa januari mwaka ujao wa 2025. Haya ni kwa mujibu wa afisa wa jinsia katika kaunti ya Marsabit Joshua Akeno Leitoro. Akizungumza na Radio Jangwani baada ya kukamilika kwa warsha[Read More…]

Read More

KIJANA MOJA MWENYE UMRI WA MIAKA 22 AMEJITIA KITANZI MJINI MARSABIT.

KIJANA MOJA MWENYE UMRI WA MIAKA 22 AMEJITIA KITANZI MJINI MARSABIT. Kijana moja mwenye umri wa miaka 22 amejiua kwa kujitia kitanzi mjini Marsabit. Akithibitisha kisa hicho kamanda wa polisi kaunti ya Marsabit Leonard Kimaiyo amedokeza kuwa Kijana huyo alijitia kitanzi kutumia kamba katika eneo la Manyatta Willy viungani mwa[Read More…]

Read More

AFISA MMOJA ANAYESIMAMIA MITIHANI KAUNTI NDOGO YA NORTH HORR, MARSABIT AMEKAMATWA KWA JARIBIO LA KUIBA MTIHANI WA KCSE.

Afisa mmoja anayesimamia mitihani katika shule ya mseto ya  Ruso iliyoko katika kaunti ndogo ya North Horr amekamatwa hii leo kwa jaribio la kuiba mtihani wa KCSE inayoendelea. Akidhibitisha tukio hilo kamanda wa polisi kaunti ya Marsabit Leonard Kimaiyo amesema kuwa mshukiwa alikamatwa akipiga picha mtihani wa hesabu na kutuma[Read More…]

Read More

WAZAZI MARSABIT WAHIMIZWA KUTOWAFICHA WATOTO WALIO NA ULEMAVU WA KUPOOZA KWA UBONGO MAARUFU CELEBRAL PALSY.

Wazazi Marsabit wahimizwa kutowaficha watoto walio na ulemavu wa kupooza kwa ubongo maarufu celebral palsy. Wazazi katika kaunti ya Marsabit wamehimizwa kutowaficha watoto walio na ulemavu wa kupooza kwa ubongo maarufu celebral palsy, hali ambayo huathiri ubongo wa mtoto, mama akiwa mja mzito. Ni hamasa ambayo imetolewa na mhudumu wa[Read More…]

Read More

WAZAZI KAUNTI YA MARSABIT WATAKIWA KUWA KARIBU NA WANAO ILI KUJENGA UHUSIANO MWEMA NA KUWASAIDIA KUFANYA MAAMUZI MAGUMU.

Watoto walio kati ya umri wa miaka 8 hadi 17 huwa wanakumbana na changamoto ya kufanya maamuzi ambayo yatawajenga kimaisha jambo ambalo limetajwa kuwa linawaathiri kwa kiwango kikubwa. Kwa mujibu wa afisa anayesimamia mradi wa kituo cha maendeleo cha watoto (CDC) katika kanisa la E.A.P.C jimbo la Marsabit Mike Kinoti,[Read More…]

Read More

MITIHANI WA KITAIFA KCSE WANGOA NANGA,WANAFUNZI 3,748 WAKIKALIA MITIHANI HUO KAUNTI YA MARSABIT….

Idara ya elimu kaunti ya Marsabit imejiandaa kuhakikisha kwamba mitihani ya kitaifa KCSE inaendelea kama ilivyoratibiwa. Kwa mujibu wa mkurugenzi wa elimu katika kaunti ya Marsabit Peter Magiri ni kuwa mitihani hiyo imeanza vyema katika vituo vyote 52 vya mitihani hapa jimboni. Akizungumza na Shajara Ya Radio Jangwani ofisini mwake,Magiri[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter