County Updates

County updates, notifications, news from the Marsabit County

SHUGHULI ZA MASOMO NA BIASHARA ZATATIZIKA BALESARU, DUKANA KUTOKNA NA UTOVU WA USALAMA.

 Na Grace Gumato Shughuli za masomo na biashara zimeadhirika katika eneo  la Balesaru na Dukana kutokana na mzozo wa mipaka katika taifa la Kenya na taifa njirani la Ethiopia. Wakizungumza katika kikao cha usalama kilichowaleta pamoja jamii zinazoishi kwenye mipaka wakaazi wa eneo hilo wakiongozwa na  mwakilishi wa akina mama[Read More…]

Read More

WIZARA YA AFYA MARSABIT YADHIBITISHA KUZUKA KWA MKULIPUKO WA UGONJWA WA SURUA AU MEASLES

NA NAIMA Wizara ya afya katika kaunti ya Marsabit imetihibitisha kuzuka kwa mlipuko wa ugonjwa wa Surua au MEASLES jimboni. Akizungumza na shajara ya Radio Jangwani afisini mwake waziri wa afya jimboni Marsabit Malicha Boru amedokeza kuwa ugonjwa huu umeripotiwa katika maeneo bunge ya Moyale na Northhorr. Visa vitatu vimeripotiwa[Read More…]

Read More

SERIKALI IMEPIGA MARUFUKU USAFIRI WA USIKU KATIKA ENEO LA DUKANA MPAKANI MWA KENYA NA ETHIOPIA HADI USALAMA UREJEE.

NA GRACE GUMATO Wito unazidi kutolewa kwa wakaazi ya Dukana na Balesaru kuishi kwa amani na kudumisha amani mipakani. Akizungumza katika eneo la Dukana na Balesaru kamishna wa kaunti ya Marsabit James Kamau amewahakikishia wakaazi wa maeneo hayo kuwa oparesheni ya kuwaondoa wahalifu kutoka nchi jirani ya Ethiopia imeanza huku[Read More…]

Read More

WAZAZI WAMETAKIWA KUHAKIKISHA KWAMBA WANAO WANARIPOTI SHULENI KWA MUHULA WA TATU BAADA YA SHULE KUFUNGULIWA HII LEO.

NA ISAAC WAIHENYA Kulingana na walimu wakuu katika badhi ya shule za msingi za umaa tulizozuru hii leo ni kuwa asilimia kubwa ya wanafunzu hawajaripoti shuleni siku ya kwanza kutokana na mgomo wa walimu wa uliokuwa umetangazwa na chama cha walimu nchi KNUT na kisha baadae kufutwa dakika za mshisho.[Read More…]

Read More

JAMII YA RENDILE – MARSABIT KUANDAA SHEREHE YA UTAMADUNI NA LISHE WIKENDI HII.

NA HENRY KHOYAN Jamii ya Rendile inayopatikana katika kaunti ya Marsabit pekee inalenga kufufua na kuimarisha mila na tamaduni zao kupitia kuonesha vyakula vya mbalimbali kitamaduni na mila zao za kutoka jadi. Sherehe hiyo ya kipekee inatarajiwa kuanza Ijumaa tarehe 23 hadi 25 Agosti, ikiongozwa na shirika la Pastrolist People[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter