Local Bulletins

regional updates and news

EACC Kuwahoji Mcas 13 Kutoka Bunge La Kaunti Ya Baringo Kufuatia Vurugu Wakati Wa Kujadili BBI.

Picha;Hisani By Jillo Dida. Tume ya maadili na ufisadi nchini EACC imewahoji wawakilishi wadi 13 kutoka bunge la kaunti ya Baringo kufuatia kizaza kilichoshuhudiwa katika bunge hilo wiki iliyopita wakati wa mjadala wa mchakato wa kubadilisha katiba kupitia BBI. Alhamisi iliyopoita bunge la kaunti ya Baringo ilikuwa bunge la kwanza[Read More…]

Read More

Serikali Haitalegeza Kamba Kwenye Jitihada Zake Za Kumaliza Biashara Ya Dawa Za Kulevya Isiolo – Kamishna Herman Shambi

By Samuel Kosgei, Kamishna wa kaunti ya Isiolo Herman Shambi amesema kuwa serikali haitalegeza Kamba kwenye jitihada zake za kumaliza biashara na matumizi ya dawa za kulevya katika kaunti hiyo. Akiongea Mjini Isiolo kamishna Shambi pia ameonekana kutamaushwa na idadi kubwa ya vijana ambao wamejitoza kwenye anasa na starehe za[Read More…]

Read More

Kipindi Cha Kwaresma Ni Wakti Mwafaka Wa Kufanya Toba Na Kuzungumza na Mungu.- Askofu Peter Kinara

  By Samuel Kosgei, Askofu wa Jimbo Katoliki La Marsabit Peter Kihara amesema kuwa kipindi hiki wakatoliki wote dunia wanapoanza kipindi cha kwaresma ni wakti mwafaka wa kufanya toba na kuzungumza na Mungu. Akihubiri katika kanisa Kuu la Parokia ya Maria Consolata mjini Marsabit, Kihara amewataka wakristo kutumia wakti huu[Read More…]

Read More

Kinara Wa Chama Cha ODM Raila Odinga Apinga Juhudi Za Wabunge Kuharamisha Siasa Za “Walala Hai Na Walala Hoi”

By Adano Sharawe Kinara wa chama cha ODM Raila Odinga amepinga juhudi za wabunge kuharamisha siasa za “walala hai na walala hoi” zinazoendelezwa na naibu rais William Ruto. Katika taarifa, Odinga amewasihi wabunge wamwache Ruto na wendani wake kuendelea na siasa zao pasipo kuwazuia akihoji kuwa kuwazuia itakuwa ni kuhujumu[Read More…]

Read More

Kizaazaa Chazuka Kaunti Ya Meru Wakati Ambapo Waakilishi Walikuwa Wakihamasisha Wenyeji Kuhusiana Na Mswada Wa BBI.

By Adano Sharawe, Kizaazaa kilizuka kaunti ya Meru wakati ambapo waakilishi walikuwa wakihamasisha wenyeji kuhusiana na mswada wa BBI. Mkutano wa umma ulioandaliwa katika ukumbi wa Kamunde mjini Meru ulitibuka baada ya waakilishi wadi kushindwa kuwashawishi wenyeji kuunga mkono marekebisho ya katiba. Kiongozi wa wengi kaunti ya Meru Victor Kareithi[Read More…]

Read More

JSC Yaorodhesha Watu 10 Watakaohojiwa Ili Kujaza Pengo La Jaji Mkuu Aliyestaafu David Maraga

    By Waihenya Isaac JSC imewaorodhesha watu 10 watakaohojiwa ili kujaza pengo la jaji mkuu aliyestaafu David Maraga. Kwenye taarifa iliyotumwa kwenye vyombo vya habari,tume hiyo pia imewaorodhesha watu wengine 9 watakaohojiwa kwa  nafasi ya jaji wa mahakama ya upeo. Walioorodheshwa kwa nafasi hiyoni pamoja na  Jaji Said Chitembwe, Prof[Read More…]

Read More

Zoezi La Kuwasajili Makurutu Watakaojiunga Na Kikosi Cha Jeshi KDF Lakamilika Rasmi Katika Kaunti Ya Turkana.

By Waihenya Isaac Zoezi la kuwasajili makurutu watakaojiunga na kikosi cha jeshi KDF limekalika rasmi Katika kaunti ya Turkana huku idadi ya wanawake na wanaume waliohitimu kujiunga na kitengo cha wanahewa ikiwa ndogo sana. Kwa mujibu wa afisa aliyesimamia oparesheni hiyo Kanali Kitonyi ni kuwa zoezi hilo lilikumbwa na chagamoto[Read More…]

Read More

Shirika La Chakula Duniani FAO Lasema Kuwa Liko Tayari Kusaidia Serekali Ya Kenya Kupambana Na Nzige.

By Waihenya Isaac Huku serekali ikiendelea kuhakikisha kuwa miradi yake inakamilika kabla ya rais Uhuru Kenyatta kuondoka mamlakani,Msemaji wa serekali Kanali Cyrus Oguna amezuru kaunti za Meru na Isiolo ili  kutadhimini juhudi za kupambana na nzige wa Jangwani. Akizungumza Katika eneo la Burati kaunti ya Isiolo, Oguna amesema kuwa serekali[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter