Local Bulletins

regional updates and news

Wananchi Wametakiwa Kuwajibika Wakti Wa Uchaguzi Na Kuwachagua Viongozi Wenye Maadili – Asema Kamishna Wa NCIC Denvas Makori.

By Isaac Waihenya, Wananchi wametakiwa kuwajibika wakti wa uchaguzi na kuwachagua viongozi wenye maadili. Kwa mujibu wa kamishna wa tume ya Uiano na Utengamano Nchini NCIC Denvas Makori ni kuwa ni jambo la kusikitisha mno kuona kuwa wananchi wamekuwa wakiilaumu tume hiyo kutokana na ukosefu wa maadili kutoka kwa viongozi[Read More…]

Read More

Vyombo Vya Usalama Jumanne Vilifanikiwa Kulizima Jaribio La Shambulizi Dhidi Ya Kituo Cha Polisi Cha Turbi Eneo Bunge La North Horr Katika Kaunti ya Marsabit.

By Adano Sharawe, Vyombo vya Usalama Jumanne vilifanikiwa kulizima jaribio la shambulizi dhidi ya Kituo cha Polisi cha Turbi eneo bunge la North Horr katika Kaunti ya Marsabit. Hii ni kulingana na Kaimu Mkuu wa Polisi eneo la Turbi David Muthure aliyefichua kwamba watu wanne waliwafyatulia risasi maafisa wa kituo[Read More…]

Read More

Mbunge Wa Moyale Qalicha Gufu Aitaka Tume Ya NCIC Kumkamata Na Kumshtaki Aliyekuwa Mwakilishi Wa Wadi Ya Torbi, Pius Yatani Kwa Kutoa Matamshi Ya Uchochezi.

By Jillo Dida Jillo, Mbunge wa Moyale Qalicha Gufu   ameiomba serikali na tume ya maridhiano ya kitaifa NCIC kumkamata na kumshtaki aliyekuwa mwakilishi wa wadi ya Torbi, Pius Yatani kwa kutoa matamshi ya uchochezi ya kijamii katika kaunti ya Marsabit miaka miwili iliyopita. Mbunge huyo ameteta kuwa licha ya agizo la polisi kumkamata mwanasiasa huyo, bado[Read More…]

Read More

Wabunge Wanaounga Mkono Mwafaka Kati Ya Rais Uhuru Kenyatta Na Raila Odinga Kupanga Kumgatua Mamlakani Naibu Wa Rais William Ruto.

By Waihenya Isaac, Wabunge amabao wanaunga mkono mwafaka kati ya Rais Uhuru Kenyatta na kinara wa ODM Raila Odinga sasa wanapanga kikao cha pamoja na huenda wakaafikiana Kuhusu kumgatua mamlakani Naibu wa Rais William Ruto. Kwa mujibu wa Mbunge  wa Kieni Kanini Kenga ni kuwa wabunge hao huenda wakawasilisha mswaada[Read More…]

Read More

Mwanafunzi Wa Kidato Cha Tatu Katika Shule Ya Wavulana Ya King David Kamama Katika Kaunti Ya Embu Apatikana Na Risasi Shuleni.

By Waihenya Isaac, Mwanafunzi wa kidato cha tatu Katika shule ya wavulana ya King David Kamama Katika kaunti ya Embu aliyepatikana akiwa na risasi  pamoja na mwenzake aliyepatikana akijaribu kutetekeza Bweni wanazuiliwa Katika kituo cha polisi cha Manyatta  kaunti ya Embu. Kwa mujibu wa kamanda wa polisi Katika kaunti hiyo[Read More…]

Read More

Askofu Michael Otieno Odiwa Asimikwa Rasmi Na Kama Askofu Wa Kanisa Katoliki Jimbo La Homabay

By Samuel Kosgei, Askofu Michael Otieno Odiwa alisimikwa rasmi na kama Askofu wa kanisa Katoliki jimbo la Homabay Jumanne, baada ya uteuzi wake mwaka jana. Sherehe ya kusimikwa kwake ilifanyikia katika shule ya upili ya Homabay Boys. Hafla hiyo ya kumtawaza Askofu Odiwa iliongozwa na mwakilishi wa Papa humu nchi Kenya Askofu Mkuu Nuncio[Read More…]

Read More

Wakazi Wa Turbi Watoa Changamoto Kwa Serikali Kumaliza Kero La Utovu Wa Usalama Unaoshuhudiwa Jimboni.

By Adano Sharawe, Wakazi wa Turbi eneo bunge la North Horr wametoa changamoto kwa serikali kumaliza kero la utovu wa usalama unaoshuhudiwa jimboni, hasa kwenye mpaka wa Sololo na Turbi. Wakiongozwa na Roba Bonaya, wenyeji waliozungumza na idhaa hii wameelezea kuhofia usalama wao kwani sasa majambazi wenye silaha hatari wanaonekana[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter