Levaquin: Comprehensive Guide on Usage, Benefits, and Safety
December 20, 2024
regional updates and news
Na Isaac Waihenya, Wito umetolewa kwa jamii ya Marsabit kutowatenga watu wanaoishi na matatizo ya afya ya akili. Kwa mujibu wa mwazilishi wa shirika la Open Minds Community Focus (OMCF) linashughulikia maswala ya afya ya akili hapa jimboni Marsabit Bi. Mariam Abduba ni kuwa jamii imekuwa ikikosa kuwaelewa na hata[Read More…]
Na JB Nateleng, Serekali ya kaunti ya Marsabit ni sharti ihakikishe ya kwamba watu wanaoishi na ulemavu wamewakilishwa katika idara zote kiukamilifu. Hayao yamekaririwa na mwenyekiti wa muungano wawatu wanaishi na ulemavu wa Saku United Disabled Group John Boru Galgallo. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya kipee Boru amesema[Read More…]
Na Grace Gumato, Wito umetolewa kwa wanafunzi wa shule za msingi, zile za secondari na hata vyoo vikuu kutoshiriki katika wizi wa mitahani. Akizungumza na idhaa hii Askofu wa kanisa la Kianglikani Askofu Qampicha Wario amesema kuwa wanafunzi wengi wamejitoza katika wizi wa mitihani na kupata alama za juu ambazo[Read More…]
Na Caroline Waforo, Mbunge wa eneo la Northhorr kaunti ya Marsabit Wario Guyo Adhe ni kati ya wabunge kadhaa humu nchini ambao wanaohusishwa na matumizi mabaya ya fedha za hazina ya ustawi wa maeneobunge nchini (NG-CDF). Hii ni kulingana na ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za serikali Nancy Gathungu. Kulinga[Read More…]
Na Grace Gumato, Wito umetolewa kwa wanafunzi wa shule za msingi, zile za secondari na hata vyoo vikuu kutoshiriki katika wizi wa mitahani. Akizungumza na idhaa hii Askofu wa kanisa la Kianglikani Askofu Qampicha Wario amesema kuwa wanafunzi wengi wamejitoza katika wizi wa mitihani na kupata alama za juu ambazo[Read More…]
Na Caroline Waforo. Idara ya afya kaunti ya Marsabit itaanza kuwafanyia uchunguzi wa homa ya nyani ya MPOX wasafiri wote wanaoingia jimboni. Hii ni kutokana na kuendelea kurekodiwa kwa ugonjwa huo wa MPOX humu nchini pamoja na kisa kinachoendelea kufanyia uchunguzi katika kaunti jirani ya Isiolo. Kulingana na afisa wa[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Wakaazi wa kaunti ya Marsabit wametakiwa kutunza miche ambayo imepandwa ili kuongezea kiwango cha miti hapa jimboni. Kulingana wa afisa mkuu katika idara ya misitu na mali asili kaunti ya Marsabit Pauline Marleni aliyeongea na Radio Jangwani kwa njia ya kipekee,ni kwamba iwapo jamii haitatunza miche iliyopandwa[Read More…]
Na Talaso Huka Wakaazi wa kaunti ya Marsabit wametoa hisia mseto kuhusu pendekezo la kuundwa kwa afisi rasmi ya kiongozi wa upinzani. Baadhi ya waliozungumza na Radio Jangwani wameunga mkono pendekezo hilo wakisema kuwa kuundwa kwa ofisi rasmi ya upinzani itasaidia katika kuwajibisha serikali Hata hivyo mmoja wa mkaazi ameonekana kupinga[Read More…]
Na Samuel Kosgei IDARA ya kilimo kaunti ya Marsabit imewataka wakulima katika sehemu za ukulima kaunti hii wazidishe maandalizi yao ya kupanda ili kuepuka kupatwa ghafla na mvua. Afisa wa kilimo katika kaunti ya Marsabit Dub Nura akizungmza na shajara amewataka wakulima kuanza kulima mashamba yao ili wawe tayari kupanda[Read More…]
NA CAROL WAFORO Mwanaume mmoja amefikishwa mahakamani kwa jaribio la kumbaka mtoto wa miaka 7. Inakisiwa kuwa mnamo tarehe 7 mwezi February 2024 katika mtaa wa Jaldesa wadi ya Marsabit central kaunti ya Marsabit mshukiwa kwa jina Guyo Kose Duba alitekeleza unyama huo. Mtuhumiwa alikamatwa tarehe 8 mwezi huo wa[Read More…]