Local Bulletins

regional updates and news

WAZAZI KAUNTI YA MARSABIT WATAKIWA KUWA KARIBU NA WANAO ILI KUJENGA UHUSIANO MWEMA NA KUWASAIDIA KUFANYA MAAMUZI MAGUMU.

Watoto walio kati ya umri wa miaka 8 hadi 17 huwa wanakumbana na changamoto ya kufanya maamuzi ambayo yatawajenga kimaisha jambo ambalo limetajwa kuwa linawaathiri kwa kiwango kikubwa. Kwa mujibu wa afisa anayesimamia mradi wa kituo cha maendeleo cha watoto (CDC) katika kanisa la E.A.P.C jimbo la Marsabit Mike Kinoti,[Read More…]

Read More

MITIHANI WA KITAIFA KCSE WANGOA NANGA,WANAFUNZI 3,748 WAKIKALIA MITIHANI HUO KAUNTI YA MARSABIT….

Idara ya elimu kaunti ya Marsabit imejiandaa kuhakikisha kwamba mitihani ya kitaifa KCSE inaendelea kama ilivyoratibiwa. Kwa mujibu wa mkurugenzi wa elimu katika kaunti ya Marsabit Peter Magiri ni kuwa mitihani hiyo imeanza vyema katika vituo vyote 52 vya mitihani hapa jimboni. Akizungumza na Shajara Ya Radio Jangwani ofisini mwake,Magiri[Read More…]

Read More

WAZAZI KAUNTI YA MARSABIT WATAKIWA KUWA WANGALIFU KIPINDI CHA LIKIZO ILI KUWAEPUSHA WANAO NA UTUMIZI WA MIHADARATI.

Wazazi katika kaunti ya Marsabit wametakiwa kuwa wangalifu kipindi hichi likizo ili kuhakikisha kwamba wanao hawajiingizi katika utumizi wa mihadarati. Kwa mujibu wa mwalimu Sarah Wanyeki ni kuwa ni jukumu la wazazi kujua waliko wanao kipindi cha likizo ili wasije wakajihisisha na maovu. Akizungumza na Shajara ya Radio Jangwani kwa[Read More…]

Read More

WAKAAZI WA MARSABIT WATOA HISIA ZAO KUHUSIANA NA KITHURE KINDIKI KUCHUKUA NAFASI YA RIGATHI GACHAGUA.

Baada ya waziri wa usalama Profesa Kithure Kindiki kuapishwa kama naibu wa rais mpya hii leo, wakaazi wa kaunti ya Marsabit wametoa hisia zao kuhusiana na hatua hiyo. Baadhi ya waliozungumza na shajara ya Radio Jangwani kwa njia ya kipekee, wameonyesha kutoridhishwa na uamuzi uliofanywa na mahakama pamoja na Rais Ruto kwa kumchagua[Read More…]

Read More

WAZAZI KAUNTI YA MARSABIT WATAKIWA KUWA WANGALIFU KIPINDI CHA LIKIZO ILI KUWAEPUSHA WANAO NA UTUMIZI WA MIHADARATI.

Wazazi katika kaunti ya Marsabit wametakiwa kuwa wangalifu kipindi hichi likizo ili kuhakikisha kwamba wanao hawajiingizi katika utumizi wa mihadarati. Kwa mujibu wa mwalimu Sarah Wanyeki ni kuwa ni jukumu la wazazi kujua waliko wanao kipindi cha likizo ili wasije wakajihisisha na maovu. Akizungumza na Shajara ya Radio Jangwani kwa[Read More…]

Read More

WAZAZI KAUNTI YA MARSABIT WATAKIWA KUTOWAFICHA WATOTO WANAOISHI NA ULEMAVU NA BADALA YAKE KUWAPELEKA SHULE ILI WAPATE ELIMU.

Wazazi katika kaunti ya Marsabit wametakiwa kutowaficha watoto wanaoishi na ulemavu na badala yake kuwapeleka shule ili wapate elimu. Kwa mujibu wa mshiriki wa baraza la watu wanaoishi na ulemavu (NCPWD) kaunti ya Marsabit Ahmed Abdi,ni kuwa watoto wanaoishi na ulemavu wanafaa kupewa haki sawa na wale wengine. Akizungumza na[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter