Local Bulletins

regional updates and news

USIU-Africa kicks off an international search for a substantive Vice-Chancellor

By Radio Jangwani The United States International University-Africa (USIU-Africa) has commenced an international executive search seeking to retain a substantive Vice-Chancellor to lead the premier higher education institution.   The process will be spearheaded by a United Kingdom-based firm, Oxford HR, a specialist executive search and organizational effectiveness firm with[Read More…]

Read More

Mtu mmoja ajeruhiwa baada ya mzozo kati ya jamii mbili kuzuka Jumatano asubuhi katika eneo la Arapal.

Na Waihenya Isaac, Mtu mmoja alijeruhiwa wakti mzozo kati ya jamii mbili ulipozuka hii leo asubuhi katika eneo la Arapal wadi ya Loiyangalani kaunti ya Marsabit. Akidhibitisha kisa hicho kamishina wa kaunti ya Marsabit Paul Rotich ametaja kuwa mzozo ulizuka baina ya jamii mbili kuhusiana na eneo la malisho japo[Read More…]

Read More

Kaunti ya Marsabit imetajwa kuwa miongoni mwa kaunti ambazo zinashuhudia visa vingi vya mimba za mapema.

Na Silvio Nangori, Kaunti ya MARSABIT imetajwa kuwa miongoni mwa kaunti ambazo zinashuhudia visa vingi vya mimba za mapema. Kaunti zingine katika maeneo ya kaskazini mashariki mwa Kenya -Embu, Kitui na Machakos zimetajwa pia kuathirika. Kaunti ya Nairobi imetajwa kuongoza nchini kwa visa vingi Zaidi mwaka huu. Haya ni kwa[Read More…]

Read More

Ukosefu wa usalama waathiri biashara ya kuuza nyama katika eneo bunge la Saku kaunti ya Marsabit.

Na Emmanuel Amalo, Mwenyekiti wa chama cha wauza nyama-Butcher Sacco eneo hili, Diba Galgallo amesema kuwa wanapitia changamoto si haba kutokana na machafuko ya kila mara katika eneo hili. Galgallo amedokeza kuwa biashara hiyo huathirika vibaya kila mara kunapotokea mapigano ya kikabila ikizingatiwa kichinjio kikuu kiko nje kidogo ya mji[Read More…]

Read More

Idara ya polisi nchini yatoa onyo kwa viongozi wa kisiasa wanaowatumia vibaya vijana.

Na Waihenya Isaac, Idara ya polisi nchini imetoa onyo kwa viongozi wa kisiasa wanaowatumia vibaya vijana kuleta virugu miongoni mwa jamii wakati huu tunapokaribia uchaguzi mkuu mwaka ujao. Akizungumza na waandishi wa habari inspekta jenerali wa polisi Hillary Mutyambai amesema kuwa idara ya polisi iko macho na itatumia mbinu zozote[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter