Upungufu wa maafisa wa kuhamsisha umaa kuhusu mabadiliko ya tabia nchi wachangia kudorora kwa kilimo Marsabit…
January 17, 2025
By Adano Sharawe, Wauguzi wamejiunga na Matabibu katika kusitisha mgomo wao ambao umedumu kwa zaidi ya miezi mitatu kufuatia agizo la mahakama. Katibu wa muungano wa wauguzi nchini KNUN Seth Panyako amewaagiza wauguzi kurudi kazini kufikia hapo kesho. Jaji wa mahakama ya Leba Maureen Onyango mnamoJumatatu aliwaagiza wauguzi na matabibu[Read More…]
By Samuel Kosgei, WAWAKILISHI Wadi wa kaunti ya Marsabit wameteta sababu zao kupitisha mswada wa kubadilisha katiba mwaka wa 2020 wakidai kuwa ni mswada mzuri kwa wakaazi wa marsabit ikizingatiwa kuwa kaunti nyingi imechangamkia mchakao huo wa BBI. Wakizungumza nje ya bunge lao MCAs hao wakiongozwa na kiongozi wa wengi[Read More…]
By Samuel Kosgei, Waakilishi wadi kaunti ya Isiolo waliounga mkono ripoti ya BBI wametaja ongezeko la mgao wa kaunti kutoka asilimia 15 hadi asilimia 35 na kutambuliwa kwa jamii ya wafugaji kama sababu kuu za wao kupitisha mswada wa BBI hapo jana Waakilishi wadi hao wameunga mkono mswada huo licha[Read More…]
By Waihenya Isaac, Bunge la Kaunti ya Wajir limekuwa la hivi punde kupitisha mswada wa marekebisho wa mwaka wa 2020. Mswada huo wa marekebisho ya katiba kupitia mpango wa maridhiano ya kitaifa BBI umewasilishwa katika bunge hilo hii leo na kuuidhinisha kwa pamoja na wawakilishi wadi 36 huku mmoja akiupinga.[Read More…]
By Waihenya Isaac, Kamati ya kitaifa ya mpango wa BBI imetaja kuwa itanza kampeni za kupigia debe Ripoti hiyo kuanzia jumatatu wiki ijayo. Kwa mujibu wa viongozi wa kamati hiyo,Junet Mohamed na Denis Waweru ni kuwa mipango ya kuanza kampeni za kuipa umaarufu zaidi ripoti ya BBI imekamilika. Viongozi hao[Read More…]
By Waihenya Isaac Bunge la Kaunti ya Marsabit limekuwa la hivi punde kupitisha mswaada wa marekebisho wa mwaka wa 2020. Mswada huo wa marekebisho ya katiba kupitia mpango wa maridhiano ya kitaifa BBI umewasilishwa katika bunge hilo hii leo na kupitishwa na MaMCAs 24 bila kupingwa na yeyote. Aidha ni[Read More…]
By Jillo Dida Shughuli ya kuwaajiri makurutu wa polisi imefanyika jana katika vituo mbali mbali kote nchini. Idadi ndogo ya vijana ilishuhudiwa katika vituo mbali mbali vya kaunti ndogo zote za Marsabit. Zoezi hilo limefanyika katika maeneo tofauti katika kaunti ya Marsabit yakiwa ni pamoja na Laisamis, Loiyangalani,[Read More…]
By Waihenya Isaac, Klabu ya Gor Mahia imetua mjini Lusaka Zambia, huku kikosi hicho kikitarajiwa kufanya mazozezi mepesi kabala ya mechi ya marudio kati yao na NAPSA All Stars ya Zambia Katika mchuano wa kufuzu kwa hatua ya makundi ya kombe la shirikisho la soka barani Afrika CAF Confederation Cup.[Read More…]
By Silivio Nangori, Rais Uhuru Kenyatta amewapongeza wakilishi wadi mbali mbali Nchini waliopitisha mswaada wa maridhiano BBI. Akizungumza katika eneo la kayole jijini Nairobi katika Hafla ya Kufuangua Hospitali,Rais amesema kwamba serikali yake itaendelea kushughulikia maendeleo ya nchi. Aidha Kenyatta amewataka viongozi kuungana kutatua matatizo kwa sauti moja kuliko kuleta[Read More…]
By Waihenya Isaac, Akina mama katika maeneo ya Samburu Magharibi wametoa ahadi ya kushirikiana kama jamii kuhakikisha kuwa watoto wote ambao hawajaripoti shuleni kufikia sasa wamerejea. Wakiongozwa na Mwanaharakati wa kutetea haki za watoto wasichina Daktari Josphine Kulea, akina mama hao wamesema kuwa kwa pamoja watahakikisha kuwa watoto wote wa[Read More…]