Wakazi wa vijiji vya Nawapa,Kulamawe na Kilimambogo Loiyangalani,wamelalamikia uhaba wa maji…
January 15, 2025
Na Waihenya Isaac Mkugenzi katika idara ya hali ya anga kaunti ya Marsabit Roba Ali amesema kilimo kwenye kaunti ya Marsabit kimeadhirika kwa kiwango kikubwa kutokana na mabadiliko ya tabia nchi. Kwa mujibu wa Roba ni kwamba hali hiyo imesababisha ukosefu wa mvua na kuchangia kwa wakulima kupata mazao duni.[Read More…]
Na Adano Sharawe, Mbunge wa Embakasi ya mashariki Babu Owino ametangaza kuwa ni lazima katiba itabadilishwa. Kupitia kurasa zake kwenye mitandao ya kijamii ya Facebook na Twitter, mbunge huyo anayekumbwa na sarakasi si haba siasani amesema hawatorudi nyuma kwenye nia yao ya kubadilisha katiba kupitia mswada wa BBI. Babu ametangaza[Read More…]
Na Adano Sharawe. Rais Kenyatta,ambaye ni mwenyekiti wa sasa wa Jumuiya ya Afrika Mashariki aliwasili nchini humo Jumamosi asubuhi akiwa ameandamana na waziri wa mashauri ya kigeni Raychelle Omamo. Viongozi wengine wanaohudhuria sherehe hiyo ni waziri mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed, rais Muse Bihi Abdi wa Somaliland na waziri mkuu[Read More…]
Na Waihenya Isaac, Shirikisho la Raga Duniani limetangaza ratiba ya mechi za Kombe la Bara Afrika zitakazotumiwa kama mashindano ya kufuzu kushiriki Kombe la Dunia mwaka 2023. Timu ya taifa ya Kenya ya raga ya wachezaji 15 kila upande maarufu kama Simbas itaanza kampeni yake dhidi ya Senegal Julai 3[Read More…]
Na Waihenya Isaac, Serikali kwa ukishirikiano na mashirika tofauti nchini imefaulu kukabili nzige wa Jangwani ambao wamekuwa wakiwahangaisha wakulima na kuharibu mimea mashambani kwenye maeneo mbali mbali hapa nchini. Kulingana na waziri wa ugatuzi Eugine Wamalwa ni kuwa serikali ikishirikiana na shirika la umoja wa mataifa la chakula na kilimo[Read More…]
Na Silvio Nangori, Aliyekuwa Mbunge wa Samburu Mashariki Job Kasaine Lalampaa amezikwa hii leo nyumbani kwake katika kijiji cha Ldupai Samburu mashariki. Kasaine alikuwa Mbunge wa Samburu Mashariki Tangu mwaka wa 1979 Hadi 1992. Alikuwepo miongoni mwa viongozi walitajwa kufanya Maendeleo mengi katika kaunti hiyo. Kasaine alichaguliwa kama Mbunge wa[Read More…]
By Waihenya Isaac, Kitendawili cha kutoweka kwa watu wanne baada ya kuhudhuria Mkutano wa pamoja Katika kilabu kimoja mjini kitengela huenda kikachukua muda zaidi kuteguliwa. Hii ni baada ya familia ya Jack Onyango mmoja wa wale waliodaiwa maiti yake ilipakana kando ya mto Mathioya kaunti ya Muranga, kukanusha kuwa maiti[Read More…]
By Waihenya Isaac, Bunge la kitaifa litampiga msasa jaji Martha Koome tarehe 13 mwezi Mei mwezi mwaka huu, baada ya Jaji Koome kupendekezwa na tume ya huduma za mahakama JSC kuwa jaji mkuu. Koome anatarajiwa kufika mbele ya kamati ya mbunge Kuhusu sheria kwa Mahojiano. Aidha Umaa umetakiwa kuwasilisha maoni[Read More…]
By Waihenya Isaac, Nyota wa klabu ya Westham United,Jesse Lingard amesema kuwa hana mpango wa kurejea kwenye klabu yake ya Manchester United. Lingard ambaye kwa sasa anachezea klabu ya Westham kwa mkopo tangu mwezi Januari mwaka huu akitokea Klabu ya Manchester United yupo kwenye fomu nzuri kwa sasa, huku akitaja[Read More…]
By Waihenya Isaac Kamishna wa kaunti ya Marsabit Paul Rotich amewahakikishia wakaazi wa kaunti ya Marsabit usalama wa kutosha. Akizungumza wakti wa Uzinduzi wa shihena ya Chakula cha msaada Kutoka kwa shirika la msaba mwekunduku uliofanyaika hapa mjini Marsabit,Kamishna Rotich ametaja kuwa serekali inafanya kila jitihada ili kuondoa kero la[Read More…]