Chama cha Kitaifa cha wafanyabiashara na viwanda kinataka serikali kuwahusisha kwenye mswada wa fedha wa 2025 kinyume na ilivyokuwa miaka ya nyuma.
January 16, 2025
KANISA katoliki jimbo la Marsabit Jumamosi ilisherehekea miaka 60 ya kueneza injili, maadhimisho iliyofanyika kanisa katika kanisa la Cathedral mjini Marsabit. Misa takatifu iliongozwa na Mhashamu Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Nyeri Anthony Muheria. Kwenye mahubiri yake Askofu Muheria alisema kuwa ni jukumu la wakristu kusimama kidete katika imani[Read More…]
Na Samwel Kosgei, Wizara ya afya kaunti ya Marsabit imetangaza uwepo wa visa 10 vya ugonjwa wa macho mekundu (red eyes) ambao mwezi jana ulitangazwa kuwepo kaunti ya Mombasa. Wizara hiyo ikiongozwa na waziri wa afya Grace Galmo imesema kuwa dalili ya ugonjwa huo ni ikiwemo kuhisi uchungu machoni, kufura[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Serekali imetakiwa kutwa silaha haramu zinazomilikiwa na wenyeji katika eneo la Keiyo Valley linalokumbwa na changamoto ya wizi wa mifugo ili Amani idumu katika sehemu hiyo. Wito huo umetolewa na askofu wa kanisa katoliki katika dayosisi ya Eldoret Dominic Kimengich. Akizungunza na vyombo vya habari Askofu Kimengich[Read More…]
Na Samuel Kosgei, Ni afueni kubwa sasa kwa wakaazi wa Bubisa eneobunge la North Horr kaunti ya Marsabit baada ya mashine ya kusafisha maji kwa kutoa madini ya chumvi kuzinduliwa rasmi na shirika la PACIDA na washirika wake mjini humo. Afisa mkuu mtendaji wa shirika la PACIDA Marsabit, Patrick Katelo[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Klabu ya Chelsea inatarajiwa kufanya maamuzi magumu kuhusu kumpa kazi menaja wa zamani wa Tottenham Hotspur Mauricio Pochettino. Pochettino amepigiwa upato kupata nafasi hiyo baada ya Makocha Luis Enrique na Julian Nagelsmann kujiondoa katika kinyanganyiro hicho. Pochettino amewahi kuvinoa vilabu vingine kama vile Southampton na Paris Saint[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Polisi mjini Kitengela kaunti ya Kajiado wanamzuilia mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 27 ambaye anadaiwa kumua mwanawe mwenye umri wa maiaka 2 kwa kumkata kata vipande kwa kisu, kisha akala sehemu za ndani za mwili wa mtoto huyo kama vile maini na matumbo. Kamanda wa Polisi[Read More…]
Na Isaac Waihenya na John Bosco, Wito unazidi kutolewa kwa wakaazi wa eneo bunge la Laisamis kufuata maagizo ya wizara ya afya ili kujizuia dhidi ya ugonjwa wa malaria baada ya kubainika kwa aina mpya ya mbu wanaoaminika kuwa wabaya. Kwa mujibu wa chifu wa eneo la Laisamis Agostino Supeer[Read More…]
Na Isaac Waihenya na John Bosco, Shule 26 katika kaunti ya Marsabit zitanufaika na mradi unaoendeshwa na wizara ya elimu wa kuboresha shule mbambali hapa nchini (SEQIP). Kwa mujibu wa msimamizi wa kiwango cha ubora wa elimu katika kaunti ya Marsabit Mumas Wanyama ni kuwa shule 14 kutoka eneo bunge[Read More…]
Na Samuel Kosgei, Waziri wa afya kaunti ya Marsabit Grace Galmo amesema kuwa wizara yake bado inasubiri ripoti kamili kuhusiana na aina mpya ya mbu hatari waliotambulika katika maeneobunge ya Saku na Laisamis na taasisi ya utafiti wa matibabu chini KEMRI ili waweze kuchukua hatua inayofaa baada ya kushauriwa na[Read More…]
Na Samuel Kosgei, Huenda sasa ikawa afueni kwa wagonjwa katika hospitali za rufaa za Marsabit baada ya serikali kupokea dawa kutoka kwa mamlaka ya kusambaza dawa nchini KEMSA. Akizungumza baada ya kupokea dawa hizo katika hospitali ya rufaa ya Marsabit, waziri wa afya Grace Galmo amesema kuwa dawa hizo zimegharimu[Read More…]