WANACHAMA WA RANGELANDS SACCO WAPOKEA DIVIDENDS YA SHILLINGI MILLIONI SITA
February 20, 2025
Na Jillo Dida Shehena ya bangi iliyokamatwa katika barabara kuu ya Moyale hadi Isiolo na katika kaunti ya Marsabit imeteketezwa mjini Marsabit. Hakimu mkaazi wa mahakama ya Marsabit Tom Mbayaki Wafula aliongoza zoezi hilo la kuteketeza bangi hiyo yenye dhamana isiojulikana. Kati ya mwaka 2017 na mwaka 2020 takriban kesi[Read More…]
Watu wawili wameaga Dunia kufuatia mapigano mapya kati ya jamii mbili katika Eneo La Gof Choba kaunti hii ya Marsabit. Akidhibitisha kisa hicho, OCPD wa Marsabit ya Kati Benjamin Mwanthi amesema hali ya utulivu imerejea kwa sasa huku maafisa wa usalama wametumwa ili kushika doria. Polisi waliarifiwa mida ya saa[Read More…]
Na Jillo Dida Takriban watu 23 katika wadi ya Ileret, Kaunti ya marsabit wamefariki dunia kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupind huku wengine 134 wakilazwa hospitalini. Ugonjwa huo unadaiwa kuzuka mwezi jana na hali imezidi kuwa mbovu zaidi maafa zaidi yakizidi kuripotiwa. Kulingana na wenyeji wa eneo hilo kijiji[Read More…]
Wamiliki wa mahoteli sasa wanahitajika kutuma maombi upya kabla ya kurejelea kazi zao. Hili ni agizo jipya kutoka serikali siku moja tu baada ya kutangaza kwamba wamiliki wa mikahawa mbali mbali wanaweza kurejelea kazi zao. Kaimu mkurugenzi katika afya umma nchini Dkt Francis Kuria amesema kwamba wamiliki wa mahoteli wanahitajika[Read More…]
Na Adho Isacko Watu sita wamewekwa chini ya karantini katika kaunti ndogo ya Moyale. Wanne kati ya sita hao ni madereva wa trela kutoka Addis Ababa huku wengine wawili wakiwa ni kutoka kaunti ya Mombasa eneo la Mtito Andei. Kulingana na waziri wa afya kaunti ya Marsabit Jama Wolde hadi[Read More…]
By Jillo Dida Kaunti ya marsabit imefadhiliwa shilingi millioni 91 na serikali kuu kusaidia wasio jiweza katika jamii wakti uchumi ya kenya ikiendea kusambaratishwa na mambukizi ya virusi vya corona. Aidha kwa mujibu wa kamishna wa jimbo hili Evans Achoki fedha hizo zitatumika kusaidia wazee wa miaka sabini na zaid[Read More…]
Na Adano Sharawe Kwa mara ya kwanza waumini wa kiislamu jimboni marsabit hawatahudhuria swala kama kawaida katika misikiti baada ya kufungwa kuzuia maambukizi ya corona. Katika taarifa, mwenyekiti wa baraza la maimamu na wahubiri SUPKEM jimboni Jarso Jllo Fallana amesema baada ya mashauriano baina ya viongozi wa misikiti, wameamua kufunga[Read More…]
SCHOOLS IN MARSABIT COUNTY INCLUDING PRIMARY AND SECONDARY HAVE BEEN CLOSED, A SPOT CHECK BY RADIO JANGWANI CONFIRMED THE SHUTTING DOWN OF CAVALLERA SECONDARY SCHOOL LEARNING PROGRAM WEDNESDAY MORNING.
By Jillo Dida Following the presidential directive issued on Sunday, schools in Marsabit County both primary and secondary schools have been closed. A spot check by Radio Jangwani confirmed the shutting down of schools in Bishop Cavallera girls, with the school administration releasing students early on Wednesday morning. The school[Read More…]