Featured Stories / News

Superbowl

Super Bowl 2022 Halftime show

By Adelaide, The Super Bowl is the most-watched event in the United States that has over 100 million people tune in nationwide. It’s estimated that around 17.6 million individuals place bets on this game, which amounts to over $500 million. This year’s Super bowl event kicked off on 14th, February 2022.[Read More…]

Balozi Ukur Yatani hatawania kiti cha ugavana Marsabit

Na Machuki Dennson Waziri wa Fedha nchini Ukur Kanacho Yatani amesema kwamba hatowania kiti chochote mwaka katika ulingo wa siasa. Waziri Yatani ametoa taarifa yake usiku wa leo wakati wa makataa ya mwisho ya kujiuzulu akisema kwamba hatajiuzulu. Badala yake Waziri Ukur ameweka wazi kuwa ataendelea kuhudumu katika baraza la[Read More…]

Sunya Orre apuuzilia mbali hatua ya baraza la wazee la kirendile waliompendekeza John Lotoo Segelan kuwania ugavana kwa niaba ya jamii hiyo.

Na Samwel Kosgei, Mwaniaji wa kiti cha ugavana mwaka huu katika kaunti ya Marsabit Sunya Orre amepuuzilia mbali hatua ya baraza la wazee la kirendile waliompendekeza John Lotoo Segelan kuwania ugavana kwa niaba ya jamii hiyo. Akizungumza na radio jangwani kwenye kipindi cha Bunge Letu, Orre amesema kuwa uamuzi wa wazee uliofanyika katika[Read More…]

Waziri John Munyes ajiuzulu.

Na Isaac Waihenya, Waziri wa madini na Petroli nchini John Munyes amejiuzulu wadhifa huo ili kujitosa katika siasa. Munyes ambaye anawania kuwa Gavana wa Kaunti ya Turkana, ametangaza kujiuzulu hii leo kabla ya makataa ya Jumatano,Februari 9 kwa watumishi wa umma wanaowania viti vya kisiasa kujiuzulu nyadhifa zao. Anakuwa waziri[Read More…]

Is Lil Nas Missing?

By Adelaide, Fans globally have raised concerns on the whereabouts of Grammy Award-winning singer Lil Nas X. The last posts updated on his social media platforms were two months ago on December 7th.The 22-year-old had posted a series of tweets in mid-December acknowledging that he had tested positive for the coronavirus. “Covid[Read More…]

Subscribe to eNewsletter