Featured Stories / News

MAHAKAMA YAKATAA KUZUIA BUNGE LA SENETI KUSKIZA KESI YA GACHAGUA

Naibu Rais Rigathi Gachagua, amepata pigo lingine baada ya Mahakama Kuu kukataa kuzuia Seneti isisikilize hoja ya kumng’oa mamlakani. Hii inamaanisha kwamba Gachagua atajitetea dhidi ya tuhuma zilizowasilishwa kama msingi wa kumng’oa mamlakani wakati hoja hiyo itakapowekwa mbele ya Seneti siku ya Jumatano na Alhamisi, kulingana na mpango uliopo. Jaji[Read More…]

VIONGOZI WA MARSABIT WAMESHAURIWA KUHAMASISHA UMMA KUHUSU RASILIMALI ASILI ZINAZOPATIKANA HAPA JIMBONI.

Viongozi wa Marsabit wameshauriwa kuhamasisha umma kuhusu rasilimali asili zinazopatikana hapa jimboni. Viongozi katika kaunti ya Marsabit wameshauriwa kuhamasisha umma kuhusu rasilimali asili zinazopatikana hapa jimboni. Haya ni kwa mujibu wa mshauri wa Kiutawalawa shirika la NAPO Dr Elizabeth Pantoren Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya kipekee Pantoren amesema[Read More…]

MILA POTOVU KAMA VILE UKEKETAJI NA NDOA ZA MAPEMA BADO ZINAREJESHA NYUMA HATUA ZILIZOPIGWA KATIKA KUINUA MTOTO MSICHANA MARSABIT.

Kuna muda wa kila kitu ila huu ni muda wenu wa masomo. Ndio ushauri wa mtetezi wa haki za kinadamu katika kaunti ya Marsabit Nuria Golo kwa wasichana siku hii ya kusherekea siku ya mtoto msichana ulimwenguni. Akizungumza na Radio Jangwani ofisini mwake, Nuria amewataka wasichana kutumia muda huu kujiimarisha[Read More…]

WAKAAZI JIMBONI MARSABIT WAHIMIZWA KUASI TAMADUNI ZILIZOPITWA NA WAKATI KAMA VILE WIZI WA MIFUGO.

Wakaazi jimboni Marsabit wamezidi kuhimizwa kuasi tamaduni zilizopitwa na wakati kama vile wizi wa mifugo. Akizungumza na idhaa hii mapema leo asubuhi kwenye kipindi cha Amkia Jangwani, DCC wa Marsabit Central David Saruni amewataka wakaazi wanaoshirikiana na wahalifu haswa wanaotoka katika kaunti jirani kukoma. Ijumaa wiki jana watu waliokuwa wamejihami[Read More…]

.WITO UMETOLEWA KWA JAMII YA MARSABIT KUTOWAFICHA WATOTO WALIONA ULEMAVU NA BADALA YAKE KUHAKIKISHA KWAMBA WANAPATA HAKI ZAO ZA KIMSINGI.

Wito umetolewa kwa jamii ya Marsabit kutowaficha watoto waliona ulemavu na badala yake kuhakikisha kwamba wanapata haki zao za kimsingi. Kwa mujibu wa meneja wa kituo cha huduma Center mjini Marsabit Geoffrey Ochieng ni kuwa watoto waliona ulemavu wanafaa kupewa haki sawa za masomo na za kimaisha kama wenzao wasio[Read More…]

Subscribe to eNewsletter