Featured Stories / News

WATU 25 WAMEAGA DUNIA MWAKA HUU, HUKU 32 WAKISALIA NA MAJERAHA KUTOKANA NA WIZI WA MIFUGO KAUNTI ZA SAMBURU, ISIOLO,MARSABIT NA MERU.

Na Silvio Nangori Watu 25 wameaga dunia mwaka huu huku 32 wakisalia na majeraha kutokana na wizi wa mifugo kati ya wafugaji wa Kaunti za Samburu,Isiolo,Marsabit na Meru. Akizungumza katika hafla iliyowaleta pamoja jamii mbali mbali katika hifadhi la NRT kutoka kaunti hizo, meneja wa masuala ya amani katika shirika[Read More…]

ONYO KALI LATOLEWA KWA VIJANA WANAOENDELEZA WIZI KATIKA BOMA ZA WATU HAPA MJINI MARSABIT NA VYUNGA VYAKE.

Na Isaac Waihenya & Naima Abdulahi, Onyo kali limetolewa kwa vijana wanaoendeleza wizi katika boma za watu hapa mjini Marsabit na vyunga vyake. Akitoa onyo hilo chifu wa Marsabit mjini Hussein Charfi amewatahadharisha vijana waneoenedeleza kasumba hiyo kuwa watachukuliwa hatua kali za kisheria. Chifu Charfi aliyezungumza na shajara ya Radio[Read More…]

SERIKALI YA MARSABIT YAPANGA MASHINDANO YA KIDIGITALI MAARUFU HACKATHON NA KUELIMISHA VIJANA KUHUSU MASWALA YA KIDIGITALI

Na huku vijana wakiendelea kujipanga kwa ajili maadhimisho ya siku ya kimataifa ya vijana serikali ya kaunti ya Marsabit kupitia idara ya michezo na maswala ya vijana imesema kuwa imepanga hafla mbalimbali kwa ajili ya siku hiyo. Akizungumza na shajara ya radio Jangwani afisini mwake kaimu mkurugenzi wa idara hiyo Daud[Read More…]

VIONGOZI WA KIDINI MARSABIT WAOMBA VIJANA WA GEN Z KUSITISHA MAANDAMANO NA KUIPA MUDA SERIKALI KUTEKELEZA MAGEUZI.

Na Samuel Kosgei Viongozi wa kidini bado wanarai vijana kote nchini wametakiwa kusitisha mpango wao wa maandamano uliopangiwa kufanyika Alhamisi ya tarehe 8 mwezi huu ikiwa ni shinikizo ya kumtaka rais Ruto kujiengeua mamlakani. Viongozi hao wa kidini wakiongozwa na imam wa Msikiti wa Jamia hapa mjini Marsabit Mohammed Noor[Read More…]

WAKAAZI WA MARSABIT WATOA HISIA ZAO KUHUSIANA NA KIONGOZI WA WIPER KALONZO MUSYOKA KUWA KINARA WA UPINZANI NCHINI.

Na Ebinet Apiyo, Baada ya kinara wa upinzani nchini Raila Odinga kuonekana kufanya kazi na serekali na baadhi ya wanachama wa ODM kuteuliwa kama mawaziri, wakaazi wa kaunti ya Marsabit wametoa hisia zao kuhusiana na iwapo kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka anatosha kushikilia wadhifa wa kinara wa upinzani nchini. Baadhi[Read More…]

DHULMA ZA KIJINSIA NA MASWALA YA UNYANYAPAA YATAJWA KUWA SABABU KUU ZINAPELEKEA WATOTO KATIKA KAUNTI YA MARSABIT KUADHIRIKA KIAKILI.

Na JB Nateleng Dhulma za kijinsia na maswala ya unyanyapaa yametajwa kuwa sababu kuu inapelekea watoto wengi katika kaunti ya Marsabit kuweza kuadhirika kiakili. Kulingana na Victor Karani ambaye ni afisa anayeshughulikia maswala ya afya ya akili katika hospitali ya rufaa ya Marsabit ni kuwa watoto wengi jimboni wanakataa kuripoti[Read More…]

Subscribe to eNewsletter