Marsabit yatajwa kuwa miongoni mwa kaunti zinazokuwa kwa kasi kimaendeleo.
January 15, 2025
NA SILVIO NANGORI Waziri wa Elimu wa Kaunti ya Marsabit,Bi. Ambaro Abdulah Ali, amesisitiza kuwa elimu ndiyo msingi wa maendeleo katika kaunti hiyo. Akizungumza katika hafla ya kukabidhiwa shule ya upili ya wasichana ya Kulal, katika wadi ya Loyangalani, Waziri Ambaro amewataka wananchi kuelewa umuhimu wa elimu na kuwapeleka watoto[Read More…]
BY JOHN BOSCO NATELENG Mwanachama wa kamati kuu ya chama cha kisiasa cha National Vision Party (NVP), Harrison Mugo, anasema kuwa suala la muguka linahitaji kuzingatiwa kwa undani ili kukwepa migogoro inayoweza kuzuka kati ya wauzaji wa bidhaa hiyo na serikali. Akizungumza katika mahojiano, Mugo amesema kuwa ni jukumu la[Read More…]
BY CAROL WAFORO AND EBINET APIYO Kaimu Kamishna wa Kaunti ya Marsabit, David Saruni, amewataka watumiaji wa mitandao ya kijamii kuepuka uchochezi wa umma. Amesema kuwa idara ya ujasusi DCI inahakiki baadhi ya kurasa za mitandao yanayohusishwa na madai ya uchochezi. Pamoja na hayo, Saruni amewaelekeza vituo vya redio[Read More…]
BY CAROL WAFORO Elebor, Kaunti ya Marsabit Baada ya malalamiko ya wakaazi wa eneo la Elebor kuhusu ukosefu wa maji safi, mamlaka ya maji jimboni Marsabit imeahidi kukarabati kisima hicho ifikapo mwishoni mwa juma hili. Fakasa Boru Fakasa, Msimamizi wa Timu ya Kurekebisha Visima vya Maji, amebainisha kuwa awali[Read More…]
BY CAROL WAFORO Wakati ulimwengu umejipanga kushiriki katika maadhimisho ya Siku ya Dunia ya Mazingira, Mamlaka ya Kitaifa ya Mazingira (NEMA) nchini Kenya inapania kuongoza juhudi za usafi katika mji wa Marsabit, kwa ushirikiano na Idara ya Misitu Marsabit (KFS) pamoja na serikali ya kaunti ya Marsabit. Kadiro Oche, Naibu[Read More…]
South African singer Tyla has made history with a billion streams on Spotify for her debut album “Tyla”. The news comes amidst the ongoing success of the album, which was released earlier this year. “Tyla” has garnered widespread acclaim from her fans, solidifying the young artist’s place as a rising[Read More…]
Nigerian singer-songwriter and Mavins Record signee, Ayra Starr has released her much anticipated second studio album, “The Year I Turned 21.” The project includes a selection of 15 tracks that showcase her songwriting and vocal abilities. These tracks include famed American singer and songwriter Giveon, Brazilian singer, songwriter, and actress[Read More…]
Usher is set to receive a Lifetime Achievement BET Award. The 45-year-old star will be honored for his career achievements at the BET Awards at the Peacock Theatre in Los Angeles on June 30. Connie Orlando, the BET EVP, Specials, Music Programming and Music Strategy, said: “The relationship between BET[Read More…]
Na Samuel Kosgei Serikali ya kaunti ya Marsabit imepinga madai kuwa ilihonga kamati ya Seneti kuhusu hesabu za umma ili kusitisha uchunguzi dhidi ya madai ya ubadhirifu wa pesa za umma zilizotengewa serikali ya kaunti mwaka wa 2020/21. Akizungumzia suala Hilo msemaji wa serikali ya kaunti ya Marsabiti Abdub Barille[Read More…]
Na Samuel Kosgei Wakaazi wa eneo bunge la Laisamis wana kila sababu ya kutabasamu baada ya maabara ya kisasa kufunguliwa katika hospitali ya Loglogo. Maabara hiyo imejengwa kwa ufadhili wa Kampuni ya kuzalisha umeme kutumia upepo Lake Turkana Wind Power kupitia mpango wake wa Winds of Change ikishirikiana na Kampuni[Read More…]