October 30, 2024
WAKAAZI WA MARSABIT WANAHIMIZWA KUSHIRIKI KATIKA UHIFADHI WA MAZINGIRA
NA CAROLINE WAFORO Huku ulimwengu ukiadhimisha Siku ya Mazingira Duniani, Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mazingira Taifa (NEMA) Naftaly Osoro amebainisha umuhimu wa wakaazi wa Kaunti ya Marsabit kushiriki kikamilifu katika shughuli za utunzaji wa mazingira. Kwa mujibu wa Osoro, ushiriki wa wakaazi katika utunzaji wa mazingira utasaidia sana katika kukomesha[Read More…]