Featured Stories / News

DARA YA UVUVI MARSABIT YATAKIWA KUWEKA MIKATATI ITAKAYOSAIDIA UCHUKUZI KATIKA ZIWA TURKANA NA KUPUNGUZA AJALI ZA MASHUA KATIKA ZIWA HILO.

Na JohnBosco Nateleng’ Wito umetolewa kwa serekali ya kaunti ya Marsabit kupitia idara ya uvuvi imetakiwa kuweka mikatati ambayo itakuwa ikilinda uchukuzi unaoendelea katika ziwa Turkana ili kuweza kupunguza ajali za mashua zinazoshuhudiwa katika ziwa hilo. Kwa mujibu wa aliyekuwa mwaniaji wa kiti cha MCA wadi wa Loiyangalani na ambaye[Read More…]

WAKAAZI WA MARSABIT WANAOISHI KARIBU NA MISITU WATAKIWA KUKOMA KULISHA MIFUGO YAO NDANI YA MSITU HADI WAKATI WA KIANGAZI.

Na Talaso Huka Wakaazi wa Marsabit wanaoishi karibu na misitu wameshauri kukoma kulisha mifugo yao ndani ya msitu hadi wakati wa kiangazi. Akizungumza na Radio Jangwani Naibu msisamizi wa idara ya msitu Kadiro Oche amewataka wafugaji kuzidi kutumia nyasi zilizopo malishoni mwanzo kabla ya kuvamia misitu kwa ajili ya malisho.[Read More…]

MADAKTARI MARSABIT WATISHIA KUGOMA IWAPO MALALAMISHI YAO HAYATASHUGHULIKIWA CHINI YA WIKI 2.

Na Caroline Waforo Serikali ya kaunti ya Marsabit ina wiki mbili kuanzia leo tarehe 27 mwezi Agosti, kushughulikia matakwa yaliyoibuliwa na madaktari wa kaunti ya Marsabit. Kwenye barua iliyotiwa sahihi na katibu wa KMPDU ukanda huu wa mashariki Dr Elvise Mwandiki madaktari watalazimika kushiriki mgomo iwapo maswala yao hayatasuluhishwa chini[Read More…]

SHIRIKA LA COMPASSION MARSABIT LAWATUNUKU WANAFUNZI WALIOFANYA VYEMA KATIKA MTIHANI WA KCPE MWAKA JANA, HUKU WITO UKITOLEWA KWA WAWAZI KUWAPELEKEA WANAO SHULENI.

Na Isaac Waihenya, Wazazi wametakiwa kuwapeleka watoto shuleni bila kuwabagua ili wapate elimu itakayowafaidi katika siku za usoni. Haya ni kwa mujibu wa msimamizi wa shirika la Compassion tawi la Marsabit mchungaji Joseph Diba. Akizungumza wakati wa sherehe za kuwatunuku wanafunzi waliofanya vyema katika mtihani wa kitaifa wa KCPE mwaka[Read More…]

HOFU YASHUHUDIWA ENEO LA BALESA SARU, DUKANA – MARSABIT BAADA YA MAJAMBAZI WASIOJULIKA KUVAMIA ENEO HILO USIKU WA KUAMKIA LEO.

Na Grace Gumato Hali ya wasiwasi inaendelea kushuhudia katika eneo la Qonye katika kata ndogo la Balesa Saru baada ya majambazi wasiojulika kuvamia eneo hilo usiku wa kuamkia leo na kujaribu kuiba ngamia. Akizungumza na shajara ya Jangwani Katana Charo ambaye ni naibu kamishna wa Dukana amesema wajambazi hao walikuwa[Read More…]

Subscribe to eNewsletter