Featured Stories / News

VIONGOZI WA KIDINI KAUNTI YA ISIOLO WATAKA WANANCHI KUWASAMEHE WABUNGE WALIOPIGIA KURA MSWADA WA FEDHA 2024.

Na Samuel Kosgei, Wito umetolewa kwa wakaazi kaunti ya Isiolo na wakenya kwa ujumla kuwasamehe na kuwapea wabunge nafasi ya kuwahudumia licha ya wao kupitisha mswada uliokuwa umepingwa na wakenya. Wito huo umetolewa na Ahmed Sett ambaye ni mwenyekiti wa muungano wa viongozi wa kidini kaunti ya Isiolo Akihutubia wanahabari[Read More…]

MSWAADA KUHUSIANA NA KUZIKWA KWA TAKA ZA NYUKLIA KATIKA ENEO LA KARGI KUWASILISHWA BUNGENI.

Na JB Nateleng, Mkurugenzi wa programu katika shirika lisilo la kiserikali la Pastrol People Initiative Steve Baselle amesema kuwa shirika hilo litaandaa mswada wa kupeleka bungeni ili kuweza kuhoji serekali kuhusu upatikanaji wa taka za nyuklia katika wadi ya Kargi eneo bunge la Laisamis Kaunti ya Marsabit. Baselle ameelezea kuwa[Read More…]

WAKAAZI WA KARGI WATAKA SERIKALI KUFIDIA FAMILIA ZA WATU WALIOKUFA AU KUPATA UGONJWA WA SARATANI KUFUATIA MABAKI YA NYUKLIA KUTUPWA HUKO.

NA JOHN BOSCO NATELENG Wakazi wa Kargi Eneo bunge la  Laisamis, Kaunti ya Marsabit wametaka serekali kuchunguza kisa na ambacho watu zaidi ya 500 katika eneo hilo wanaripotiwa kuugua ugonjwa wa saratani. Wakizungumza na wanahabari, wakati wa kuanzishwa kwa mswada wa kuhoji serikali juu ya ongezeko la visa vya saratani[Read More…]

Subscribe to eNewsletter