MOHAMED NANE AMEWEKA WAZI SABABU YA KUSUSIA UCHANGUZI WA LEO.
November 14, 2024
Na Isaac Waihenya, Msimamizi wa kiwango cha ubora wa elimu katika kaunti ya Marsabit Mumas Wanyama ameuchangamoto usimamizi wa hazina ya maeneo bunge CDF katika kaunti ya Marsabit kuhakikisha kwamba kila shule ya msingi nganzi ya juu JSS ina maabara. Akizungumza katika shule The Tiigo eneo la Turbi wakati wa hafla ya mashindano ya shule[Read More…]
Na Grace Gumato Mshukiwa anayedaiwa kupora dula la jumla la Basmart mjini Marsabit amefikishwa katika mahahakama ya marsabit hii leo kwa kosa la wizi wa kimabavu. Mshukiwa Hendry Halkana George anadaiwa kuwa mnamo tarehe 6 mwezi huu katika duka la jumla la Basmart iliyoko katika mtaa ya saku kaunti ya[Read More…]
Mashindano ya Muhula wa pili ya shule ya msingi na JSS kitengo cha kaunti yameng`oa nanga hii leo katika eneo bunge la Saku. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya kipee mwalimu Abdud anayesimamia michezo katika shule ya msingi ya Manyatta Jillo amesema kuwa shule zote zilizoweza kufuzu katika[Read More…]
Na Carol Waforo Idara ya usalama katika eneo bunge la Laisamis kaunti ya Marsabit imelaumiwa pakubwa kwa utepetevu na hivyo kuchangia ongezeko la Visa vya dhulma za kijinsia katika eneo hilo. Hii ni kutokana na idadi ya juu ya madai vya visa vya ubakaji pamoja na ukeketaji wa mtoto msichana[Read More…]
NA SILVIO NANGORI Dhulma za kijinsia katika kaunti ya Marsabit zinazidi kuendelezwa licha ya kuwepo kwa kampeni mbali mbali za kuasi mila hizo potofu kutoka kwa mashirika za kibinafsi pamoja na serikali. Kwa mujibu wa afisa wa jinsia katika serekali ya kaunti ya Marsabit Rose Orre ni kuwa jamii inawaficha wanaoendeleza dhulma za[Read More…]
Na Grace Gumato Naibu msimamizi wa wa kituo cha Huduma Center hapa mjini Marsabit Diba Galgallo Bilala amekanusha madai kuwa kumekuwepo na visa vya ulaji hongo katika kituo hicho na kuyataja madai hayo kama yasiyo ya kweli. Akizungumza na idhaa hii ofisini mwake Diba amesema kuwa malipo yote katika kituo[Read More…]
Na Samuel Kosgei SENETA wa Marsabit Mohamed Chute amesema yuko tayari kujiuzulu iwapo tume ya maadili na kupambana na ufisadi EACC itaweza kudhibitisha kuwa alipokea malipo ya shilingi milioni 365 kama ilivyodaiwa wiki jana. Seneta Chute akizungumza na idhaa hii kwenye kipindi cha Amkia Jangwani asubuhi ya Jumatano amesema kuwa yeye hakukamatwa[Read More…]
Na Caroline Waforo Idara ya watoto katika eneo bunge la Moyale kaunti ya Marsabit imesema kuwa kwa ushirikiano na idara ya upelelezi DCI inaendelea kuwatafuta watoto wawili walioripotiwa kutoweka kwa njia tatanishi majuma kadhaa yaliyopita katika maeneo ya Moyale na Sololo. Kulingana na afisa wa watoto katika eneo bunge[Read More…]
Na Jalle Elias Serikali imezindua zoezi la mafunzo ya kidijitali litakalo endelea kwa kipindi cha miaka miwili hapa jimboni Marsabit. Kulingana na afisa wa mawasiliano katika mwavuli wa kaunti za FCDC Halima Golicha Ibrahim aliyezungumza na waandishi wa habari wakati wa zoezi hilo ni kuwa majaribio ya zoezi hilo ambayo[Read More…]
Na Caroline Waforo Ajira kwa watoto imeongezeka katika kaunti ndogo ya Sololo eneobunge la Moyale kaunti ya Marsabit ambapo watoto wengi wanaaajiriwa katika kazi mbalimbali badala ya kuwepo shuleni. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya simu afisa wa kupigania haki za watoto katika shirika la Strategies for Northern Development[Read More…]